Ahadi imetimia: Israel yashambuliwa

Ahadi imetimia: Israel yashambuliwa

But when the smoke cleared, the IDF stated: “There are no injuries or fatalities to our troops.”

Hezbollah retaliated against Israel, but they failed to hit their mark.
Jpost
What about those photos? Are they from Afghanistan?
 
From the beginning the IDF planned a decoy. Minutes after the Hezbollah anti-tank missiles hit, soldiers with bandages and fake blood were flown by helicopter to Rambam Medical Center in Haifa.

They were taken off the helicopters in stretchers in dramatic scenes reminiscent of past Israelis wars and operations.

Poleni sana. Hao ndio midoli aliosema yule panya Nasrallah.
Wadanganye watoto wenzio.
 
I think the issue hapa sio tactic ya army vs army. Advantage aliyonayo Hezbollah ni position aliopo ambayo inasababisha Jews population iliyopo israel kuwa fair target. No country inaweza kuvumilia civilian casualties. Hii pia ilisababisha Cuba kusurvive vs USA especially baada ya kupata missile from USSR coz cuba ipo karibu na USA.
In 2006 Hezbollah vs Israel was the first mistake kufanywa na Israel, hawakujua kuwa Hezbo wana advance missile capable kufikia ndani ya Israel, so while Israel professional army advance toward Lebanon, number of casualties among Israel civilian inside Israel was rising by the day.




View attachment 1195421View attachment 1195422View attachment 1195423
Si mnasema Israel wakati wote inajua kila kitu kuhusu maadui zake? How come hawakujua kuwa Hezbollah ina advanced missiles?
 
waarabu wameshikwa pabaya sana na wayahudi...kila kona ya "bara arabia" waarabu wanachezea kichapo tu bila majibu..iraq..lebanon..palestina..sudan...misri..saudia..Jordan..Yemen..Algeria..kote huko waarabu wamechezea vidole kwa nyakati tofauti.. hivi waarabu na utajiri wao wote wanakwama wapi?
 
Vp chifu ushamaliza kuwatumikia wayahudi? Maana mkishapataga vikazi kama house boy huwa mnaota mapembe cjui huwa mnalishwa nini jamani.
Kuna Rafiki yangu wa kimatumbi kazi yake ilikuwa kuwahudumia mbwa na kuwaogesha basi hapo anajiona yuko paradise. Shame on you 😂😂😂
hapana mkuu siko upande isaka wala ishmaili...mimi ni mzawa wa mwanamutapa...hapa nilikuwa tu naweka observation nnayoiona
 
Wajukuu wa mzee hayatollah wanamshikashika makalio israeli,,
 
habari ya kijeshi iki-ripotiwa kishabiki huwa ni sawa na zile hadith za utotoni; paukwa-pakawa

Umejuaje kama ni zakishabiki? Au kwakuwa wameuliwa wa israeli! ila wangeuliwa hezbo ungeamini sio? Endelea kuwatumikia/kuogesha puppies mzee.
 
Hahahaha zile picha za majeruhi,maitu zilizobebwa kwenye ambulance na helcopter zilikua ni za wanyama pori?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hakuna idf walichowahi kukubali

Poleni na kamanda wa jeshi naye amefyekelewa huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sahz yupo mochwari tu anasubiri sanda nyeupe azikwe zayuni lile
Bro inaonekana unapenda vita sana

Mambo yanaendaje hapo palestina
 
Si mnasema Israel wakati wote inajua kila kitu kuhusu maadui zake? How come hawakujua kuwa Hezbollah ina advanced missiles?


Mkuu usiniinginze huko..
Mimi sija sema popote the way unavyo sema.
Nacho kifanya ni analysis,
Kwa Taharifa yako Hezbollah haikuanzishwa juzi..hii ilitokana na Iranian revolution. In 1982 Iranian National Guard created what was so instrumental to spread Islamic Revolution. The real story ilianzia pale Israel ilipo vamia lebanon mkuu. Iranian General waliamua kumuomba Khomeini awaruhusu kusaidia Lebanon.
School of Thought wanahisi kwakua Saadam hussein kipindi hicho akisaidia na wamarekani alionekana kuwa anashindwa na hii ilipelekea kuanzisha chokochoko kati ya Israel na lebanon ili kupunguza pressure ya Iran dhidi ya Saadam.Iran ilipeleka technical military experties 1000 kutrain Hezbollah fighter under the leadership of Sheikh Tufeyli by that time.
The first casualty wa hili zoezi happened on 23 October 1983 about 243 US marine was killed in a suicide attack. Followed suicide attack at French post in Lebanon killing 58 french servicemen.
Key point from this nikuwa marekani waliamua kuondoa majeshi yao ndani ya Lebanon, from that point wapiganaji wa Hezbollah wakaaminikuwa kupambana na adui yako ni lazima uhakikishe kuna maximum causalities it doesn't matter type of causalities but they prefer more on civilian...
 
Back
Top Bottom