Sio tu wananguvu zaidi ya jeshi la Lebanon ila wao ndio wana control Lebanon hasa miji yote inayopakana na hao jirani zao yaani wao wanajeshi lao ,wanawabunge ,wanamawaziri na wanavyombo vya habari wanamahospitali wako strong the entire southern Beirut ipo chini yao halafu professional ni Kama vile nchi ndani ya nchi.Ina maana hao Hizboullah wana nguvu kuliko jeshi la Lebanon?
.... NIKUCHANE CHANE NA VIWEMBE..Hii inaitwa NIGUSE........
Kweli kabisa ni level nnyingine, ya chini kabisa, kama tu walinzi shirikishi ambavyo wako chini ya jeshi LA SungusunguHezbollah ni level nyingine
Labda HIZBULLAH wawe wamelala.Tugemee kusikia mayahudi wakilipiza kisasi mara dufuu.
Awapi mnajitetea tuFrom the beginning the IDF planned a decoy. Minutes after the Hezbollah anti-tank missiles hit, soldiers with bandages and fake blood were flown by helicopter to Rambam Medical Center in Haifa.
They were taken off the helicopters in stretchers in dramatic scenes reminiscent of past Israelis wars and operations.
Poleni sana. Hao ndio midoli aliosema yule panya Nasrallah.
Nikuchane chane na viwembeHii inaitwa NIGUSE........
NIKUKUMBUSHE
Wiki mbili zilizopita ndege ya Israel ilishambulia nyumba huko Syria na kuua Vijana wa wawili raia wa Lebanon na Wafuasi wa Hizbullah.
Aidha ndege zisizo na Rubani (Drones) ziliingia aga ya Lebanon katika Mji wa Dhahiya ilipo ngome ya #Hizbullah. Ndege moja ilianguka na nyingine kushambulia Kituo cha Televisheni cha Almanar kinachomilikiwa na Hizbullah hapakuwa na Majeruhi wala vifo.
AHADI YA JINO KWA JINO*
Muda mfupi kiongozi wa Hizbullah Sayydi Hassan Nasrallah alitangaza na kuahidi mambo mawili.
1) Kuanzia sasa Ndege yoyote ya Israel itakayoingia Anga ya Lebanon itashambuliwa kwa Makombora.
2) Mauaji ya Vijana wawili Hasan Zbeeb na Yasser Daher’s hayatapita bila kulipwa kisasa.
Ahadi hii ya Pili Sayyid alibainisha wazi kuwa Shambulizi hilo litalipizwa eneo kwenye Mpaka wa Israel na Lebanon la Mashamba ya Shebaa. Na kuwataka Jeshi la israel likae tayari kushambuliwa.
Pamoja na Tahadhari zote zilizochukuliwa na jeshi la Israel.
Leo tarehe 1/09/2019 saa 4:15 Jioni Kikosi maalimu cha Wanajeshi wa Hizbullah walipewa kazi ya kulipiza Kisasi chenye jina Bregedi ya Hasan Zbeeb na Yasser Daher’ kimefanikiwa kwa Usahihi na Umahiri mkubwa kushambulia Deraya ya Kijeshi ya Israel kwenye eneo la Mashamba ya Shebaa mpakani mwa Israel na Lebanon kitongoji cha Kaskazini cha Avivim.
Shambulizi hilo limewauwa Makomandoo wote wa Israel waliokuwemo ndani ya Deray hiyo.
Helkopta za Uokozi za Israeli zimeonekana zikibeba Miili ya Makomando walioshambuliwa.
#Jino_kwa_JinoView attachment 1195361View attachment 1195362View attachment 1195363View attachment 1195364View attachment 1195365
umeelezea vizuri sana mkuu mtu asiewajua vizuri hawa jamaa anapata mwanga kupitia maelezo yakoSio tu wananguvu zaidi ya jeshi la Lebanon ila wao ndio wana control Lebanon hasa miji yote inayopakana na hao jirani zao yaani wao wanajeshi lao ,wanawabunge ,wanamawaziri na wanavyombo vya habari wanamahospitali wako strong the entire southern Beirut ipo chini yao halafu professional ni Kama vile nchi ndani ya nchi.
2006 Adui yao aliweka objective ya completely kuidisarm ikafeli ya pili akasema awapige awasogeze nyuma ya mto litani ikafeli ya tatu ikawa ni kuomba UN walete peace force kuweka buffer Kati Kati ya Hawa jamaaa na wao hiyo ikapitishwa na jamaaa wakakubali na wakasign makubaliano they are the best Arabs unit ever experienced na ni majasiri hii mijitu inafuata kifaru Hadi karibu kabisa ndio inachapa na ikipiga haikosi.