tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 501
Atashinda ubunge.
Karudi baba mmoja toka safari ya mbali, kavimba yote mapaja na kutetemeka mwili
watoto wake wakaja ili kumtaka hali, wakataka na kauli iwafae maishani
(hili shairi linauhusu huo mkutano)
hahahaaaaa na hiyo avatar tena ndio nimevunjika mbavu zaidi!
mwache atoe wosia kabla roho haijaacha mwili
Enzi zake na yeye alikuwa mzee wa mafuriko.Unafikiii huyo mzee anaga muda wa kukusanya miwatu yeye kampen zake ni kitongoji kwa kitongojii mwacheni baby wa vunjo....