Kuna watu kila siku hapa kutusema wachaga, mara hajui hili mara hatujui lile, mpaka wakamwudhi
Nivea, nawaambia waache, wakikaidi wapigwe tuu!
Wengine kumsumbua
Baba V na vi-couple vyao vya ajabu, hao nao wapigwe tuu!
Wengine ni tambo na uviwembe kama bepari
Bishanga na
ericB52 nasema wapigwe tuu!
Wengine kazi zao kuvunja ndoa za watu, tumechoka! Nasema wapigwe!
Wapo wanaokuja CC kuzingua, piga tuu
Nasema wapigwee! Ndio nnavyoingia cc ivyo, kwa hisani ya Liwalo na Liwe! Dom!
Last edited by a moderator: