Ah! Afandeeee !

Ah! Afandeeee !

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,119
1419164317148.jpg
 
Another shiii..t ..hivi wewe ni mdogo wake le mutuz???
 
Mauza uza leo umekalia nini mbona unawashwa washwa sana
 
Last edited by a moderator:
​Braza kaka mbona nishakuomba samahani...kiherehere kinatoka wapi tena!!!!

Yalishaisha haya Mauza uza hii ni picha nyingine! Pole sana yaache yaliyopita yapite tusonge mbele sawa Mzee..!!!
 
Last edited by a moderator:
Sasa huyu Afande kizaazaa kikitokea yeye atasaidia au atasadiwa maana hata simuelewi

Vijambo vyake tu vitasaidia kumfukuza adui asimsogelee! Watu wa namna hii wakijisaidia kubwa mpaka wanyooshe mikono juu ndio itoke yote
 
Huwa wepesi sana maafande wa hivi! Umenikumbusha golie mmoja wa Jangwani, alikuwa anamkaribia huyu!
 
Huyo hanikamati hata siku moja, akiwa ananikimbiza nitamzungusha nahakikisha anahema mpaka anashindwa kusimama
 
Back
Top Bottom