"AGX 404 MC" - !!

"AGX 404 MC" - !!

MKALI WA MAMBO

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
211
Reaction score
146
Mohammed Dewji ( MO ) Anachangia Zaidi ya 2% katika Uchumi wa Tanzania, ameajiri watu zaidi ya 28,000, Hawa wengi wana familia na Wanategemewa...na Malengo yake ni kuajiri watu 100,000 kufikia 2025, kwa sasa yupo kwenye Mchakato wa kufufua Viwanda karibu vyote vya Nguo hapa Nchini ikiwemo Mwatex na Mutex... Huyu ni moja ya wadau wakuu wa Uchumi wa Viwanda na akiwa amewekeza zaidi katika kilimo hapa Tanzania.

Sasa unaweza kuona mwenyewe "Kutekwa" kwake au "kupatikana" kwake kungekuwa na Faida au hasara kwa nani na hata "Kutokupatikana" kwake kungekua na faida au Hasara kwa nani...Unaweza kuona mwenyewe namna Tangu Taarifa za awali za kujulikana kwa Gari ya watekaji na taarifa zao kurifurahisha kina nani na kuliwakasilisha kina nani...Na unaweza pia kuona baada ya ku-surrunder kwa watekaji Wa MO na kumrudisha kumefurahisha kina nani na kumeudhi kina nani ambao wengi wamejitokeza Hadharani kuinyesha chuki zao Wazi wazi tangu Taarifa za kutia matumaini kuhusu WatekajiZilipotolewa na IGP.

Na uweke akilini kwamba Hakuna Mgeni anaweza kwenda Ugenini kufanya Tukio bila kuwa na Connection na Mwenyeji walau Mmoja au kadhaa...MUNGU amtie Nguvu MO kimwili na kisaikolojia wakati huu

Unaweza kuona ni kwa nini watu wasio wema Walitumia Advantage ya kutekwa kwa MO kuzusha Taarifa ya viwanda Vyake kusimamisha Uzalishaji na kufungwa... Taarifa iliyokanushwa Vikali na METL wenyewe.

By the way , AGX 404 MC bado ipo Nchini jeshi la Polisi linaendelea na Msako...Alhamdulillah.

By *MKALI WA MAMBO*

IMG-20181020-WA0013.jpg
 
View attachment 904404
Nimekuja haraka haraka nikidhani unazungumzia bodaboda kumbe gari!
 
Dah mkuu wakati mwingine huwa napata taabu sana hata kutafakari baadhi ya mambo.

Kuna uzi uko humu unasema ashukuliwe lema kwa kikao chake,tulioacha akili zetu ziwe huru katika hili swala tunapata ujumbe gani???lema hakuwa wa kwanza kuongea

Utawala unatumia vibaya ujinga wa wananchi,lakini kuna watu ujinga wa wanachi ni mtaji wao kisiasa.
 
Kuna mijitu hii karine inajua koropoka yaani wao kila kitu wanajua tu, ila njia yao fupi watapata aibu soon.
 
Mohammed Dewji ( MO ) Anachangia Zaidi ya 2% katika Uchumi wa Tanzania, ameajiri watu zaidi ya 28,000, Hawa wengi wana familia na Wanategemewa...na Malengo yake ni kuajiri watu 100,000 kufikia 2025, kwa sasa yupo kwenye Mchakato wa kufufua Viwanda karibu vyote vya Nguo hapa Nchini ikiwemo Mwatex na Mutex... Huyu ni moja ya wadau wakuu wa Uchumi wa Viwanda na akiwa amewekeza zaidi katika kilimo hapa Tanzania.

Sasa unaweza kuona mwenyewe "Kutekwa" kwake au "kupatikana" kwake kungekuwa na Faida au hasara kwa nani na hata "Kutokupatikana" kwake kungekua na faida au Hasara kwa nani...Unaweza kuona mwenyewe namna Tangu Taarifa za awali za kujulikana kwa Gari ya watekaji na taarifa zao kurifurahisha kina nani na kuliwakasilisha kina nani...Na unaweza pia kuona baada ya ku-surrunder kwa watekaji Wa MO na kumrudisha kumefurahisha kina nani na kumeudhi kina nani ambao wengi wamejitokeza Hadharani kuinyesha chuki zao Wazi wazi tangu Taarifa za kutia matumaini kuhusu WatekajiZilipotolewa na IGP.

Na uweke akilini kwamba Hakuna Mgeni anaweza kwenda Ugenini kufanya Tukio bila kuwa na Connection na Mwenyeji walau Mmoja au kadhaa...MUNGU amtie Nguvu MO kimwili na kisaikolojia wakati huu

Unaweza kuona ni kwa nini watu wasio wema Walitumia Advantage ya kutekwa kwa MO kuzusha Taarifa ya viwanda Vyake kusimamisha Uzalishaji na kufungwa... Taarifa iliyokanushwa Vikali na METL wenyewe.

By the way , AGX 404 MC bado ipo Nchini jeshi la Polisi linaendelea na Msako...Alhamdulillah.

By *MKALI WA MAMBO*

View attachment 904404
@MKALI WA MAMBO wewe ndio pio Pius wa fb au?? Maana hii content niliiona amepost kwenye wall yake Facebook
 
Back
Top Bottom