PostGE2025 Agustino Polepole: Kikwete alisema Humphrey Polepole aendelee kushikiliwa

PostGE2025 Agustino Polepole: Kikwete alisema Humphrey Polepole aendelee kushikiliwa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Kwa mujibu wa kaka yake Balozi Humphrey Polepole, Kanali Agustino Polepole, amesema kuwa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete ndiye aliyetoa maelekezo kwamba Humphrey Polepole aendelee kushikiliwa.

“Kikwete alisema Humphrey Polepole aendelee kushikiliwa.” Kanali Agustino Polepole, kaka wa Balozi Humphrey Polepole.
 
Huyu bwege asitupotezee muda. Kwanza hana hizo sifa anazojitapa, amekuwa mpiga tantalila tu. Ukurasa wa H Polepole umefungwa rasmi. Maana yeye hakutaka Samia agombee urais. Sasa Samia kagombea na kaapishwa. Tunasubiri 2030 hayo mengine hayatuhusu
 
Siku hizi Kuna vituko police anaogopewa kuliko mwanajeshi Kuna mwanajeshi kaitwa kituo Cha police kawashwa vibao da JWTZ wamekuwa waganganjaa
Hahahaa inasikitisha sana ,hadi MaFUEL alisema anawashikilia wawili na mnajua Kifuatacho ITV ....HAWANA MAISHA.
 
Huyu jamaa bhana
Yani huyu hata hayuko serious na issue ya ndugu yake. Approaches zake sizielewi kabisa. Ukishajirekodi hivi sasa ndio itasaidia Humphrey kurudi? Halafu unatoa maneno yoooote. Ni kama Polepole na yeye. Alikuwa anaongea kwa kujiamini na kutuaminisha hawawezi kumgusa kumbe yuko Ununio! Bora hata angekuwa anatoa mabaya /udhalimu wa hii serikali kama kutia wananchi hasira, na si hizi sarakasi zake za kitoto.
 
Back
Top Bottom