AGRO MIFUGO ELIMIKA

AGRO MIFUGO ELIMIKA

Agro Mifugo

New Member
Joined
Mar 11, 2025
Posts
3
Reaction score
2
๐Ÿ“š๐Ÿ” OF A MAALUM KWA WATAALAMU WA KILIMO, UFUGAJI NA UVUVI!

AGRO MIFUGO โ€” Kilimo na Ufugaji kwa Maendeleo Endelevu ๐ŸŒฑ

Je, wewe ni mtaalamu wa kilimo, ufugaji au uvuvi? Je, una kitabu kinachoweza kuwasaidia wakulima, wafugaji na wavuvi kuongeza maarifa na kuboresha uzalishaji wao?

๐ŸŽ AGRO MIFUGO INAKUPA NAFASI YA KUCHANGIA ELIMU BURE!

Tunatafuta wataalamu na waandishi wenye vitabu vya elimu ya kilimo, ufugaji na uvuvi, tukianza na OF A YA KITABU CHA UFUGAJI WA KUKU BURE! ๐Ÿ”๐Ÿ“–

Tunakaribisha vitabu kuhusu:
๐ŸŒพ Kilimo na uzalishaji wa mazao
๐Ÿ” Ufugaji wa kuku na ndege wengine
๐Ÿ„ Ufugaji wa ng'ombe, mbuzi, kondoo na nguruwe
๐ŸŸ Ufugaji wa samaki na teknolojia za uvuvi
๐Ÿ’‰ Afya ya mifugo, lishe na kinga dhidi ya magonjwa
๐ŸŒฑ Teknolojia za kisasa za kilimo na ufugaji
๐Ÿ“š Ujasiriamali na biashara katika sekta ya kilimo, mifugo na uvuvi.

โ“ SWALI KWAKO:
Je, una kitabu kuhusu kilimo, ufugaji au uvuvi ambacho ungependa kisomwe na watu wengi zaidi?

๐Ÿ“ฉ Wasiliana nasi kupitia: agromifugo@gmail.com

Tuma kitabu chako pamoja na jina la mwandishi na maelezo mafupi kukihusu. Vitabu vitakavyokubaliwa vinaweza kuchapishwa na kutangazwa kupitia majukwaa yetu ya kidijitali ya Agro Mifugo ili kuwafikia wasomaji wengi zaidi.

๐Ÿค Tushirikiane kusambaza maarifa, kuimarisha sekta ya kilimo, ufugaji na uvuvi, na kujenga taifa letu kwa pamoja!

โœ… Share post hii ili kuwafikia wataalamu wengine.
โœ… Follow na subscribe kwenye chaneli zetu za mitandao ya kijamii za Agro Mifugo.
โœ… Tag mtaalamu au mwandishi unayemfahamu kwenye maoni.

๐ŸŒ AGRO MIFUGO โ€” Kilimo na Ufugaji kwa Maendeleo Endelevu.

#AgroMifugo #UfugajiWaKuku #Kilimo #Ufugaji #Uvuvi #ElimuYaKilimo #VitabuVyaKilimo #WataalamuWaKilimo #TeknolojiaYaKilimo #MaendeleoEndelevu
 

Attachments

  • IMG_20261028_223303.jpg
    IMG_20261028_223303.jpg
    86.5 KB · Views: 2
Back
Top Bottom