Agrisol na kilimo Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Agrisol na kilimo Tanzania

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Jasusi, Aug 2, 2012.

 1. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Bruce Rastetter and his AgriSol Energy colleagues came to the newspaper recently to rebut criticisms that the corporation, of which he is 30 percent shareholder and managing director, is making a land grab in Tanzania. In spite of their PowerPoint presentation and talking points, the company has more to do to prove its intentions are honorable.
  It was reported that AgriSol officials stood to make $300 million from a deal that would have given it 99-year rights to cultivate land for as little as 25 cents an acre, while forcing the evacuation of refugees living there. AgriSol denies the profit amount, but acknowledges the cheap rent and says it wasn’t responsible for the evictions. It claims to have pulled out of that project. Yet the company’s website still talks about “discussions with the local and national government officials about developing farms at Katumba and Mishamo in the future.”
  For now, the officials say, they are developing a model commercial farm in Kigoma in western Tanzania. They concede 25 cents an acre rent is low, but say the figure is set by statute, since all land is government owned.
  For context, I contacted Mwangi Kimenyi, director of the Brookings Institution’s Africa Growth Initiative. “Just because the government says the price is 25 cents — to me, that is totally ridiculous,” Kimenyi said. He said the government may be the custodian of that land, but Tanzanian people are considered its rightful owners, and it’s not for government to give it away. “Some people will benefit, but the common people will not benefit,” he said.
  AgriSol has paid Tanzanian government officials, including one who was in charge of the refugee camps, to be advisers on the project. Rastetter claims others there don’t have the know-how. Kimenyi, however, says such payments can amount to outright corruption. He said “a few individuals in government who are not transparent” then negotiate terms that undermine people’s rights.
  Rastetter further claims the company plans to invest $100 million over 10 years in infrastructure improvements in Tanzania, including water, power and storage. “That land was worthless without power, electricity, roads,” said Henry Akona, AgriSol Tanzania’s spokesman. “They need a company like AgriSol to come in and build that.”
  But if the Oakland Institute, a California-based think tank that has had researchers in Tanzania investigate the previous AgriSol deal, is correct, AgriSol also demanded the Tanzanian government give it “strategic investor status,” which would grant it tax exemptions and a waiver of duties. And they asked the government to commit to constructing a rail link.
  As to the promise of creating water supplies, Kimenyi said he has visited some large investor-owned farms in Africa, such as Del Monte’s in Kenya, where water is diverted for the company’s use. “They’re not interested in what happens downstream,” he said.
  Rastetter boasts AgriSol “can be the Iowa of Africa.” Is that even feasible? Kimenyi knows Iowa’s farms because his son went to Iowa State University. African farmers do need help with technology and increasing productivity, he said. So he sees a place for large farms producing high-yield crops.
  But as a model, he holds up the Clinton Foundation’s work in Malawi, where it leases and operates a large, so-called “anchor” farm and uses proceeds to extend credit to small farms. The project helps small farmers aggregate their output, get access to markets for their crops, negotiate prices and buy high-quality seeds and pesticides.
  “It’s a large lease but not a land grab, because there are clearly defined objectives,” Kimenyi said.
  AgriSol officials speak of doing similar things to help small farmers with eduction and “outgrower” programs. They claimed, in response to the earlier fiasco, that they would build schools and a health clinic and bring jobs. But the Oakland Institute pointed out that the company’s business plan and other documents do not mention such plans. “The tragedy,” Kimenyi says of some companies coming in, “is that they’re even entering agreements that the foods they grow do not have to enter the domestic market.” They may not create jobs because they bring their own labor and advanced technologies.
  Up to 70 percent of Africa’s population is rural and depends on eating what the land produces. While development is necessary, the traditional, varied crops must be maintained to provide balanced diets, Kimenyi said.
  The number of voices accusing AgriSol of being bad for Tanzania is growing. Whatever comes of the ethics issues involving Rastetter, what’s really at stake is whether African lands will be developed to benefit Africa’s people or be allowed to be a giant profit-making venture for foreign corporations.
  If one thing has become clear, it’s the need to look at the fine print.

  Des Moines Register
   
 2. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Serikali ya America ina Ardhi kubwa,
  ina kaa bure ni Millions of acres.
  kwa nini Hawa wajinga hwawekezi huko?
  Kwa nini waje kwetu?
  Kwa nini hawakai kwao?
  Kwa nini wadanganye hata wenzao huko IDAHO??
  Hawa ni Mafisi wala watu.


  Makampuni haya huja kwetu Africa,
  na kutwaa ardhi,
  nia na mathumuni yao ni yale yale,
  yaliyowafanya babu zao waje 1886,
  Kutawala uchumi wa nchi za Africa.

  Kiongozi yeyote wa anayeshirikiana na,
  Makampuni haya na kuwapa ardhi yetu,
  anaiuza nchi hii utumwani.

  hili jambo la kuwapa ardhi nzuri,
  ya kilimo itumiwayo na wenyeji,
  wageni wanao lima mzao yasiyo ya,
  chakula au ya chakula nakupeleka,
  makwao ni jambo linalo leta ,
  dhiki kwa taifa na hata kudumisha unyonge.

  Wananchi ni lazia tupambana vikali,
  kuiondoa madarakani serikali ya CCM,
  na kutengua mikataba yote ya kutwaa,
  ardhi yetu nakuwapa wakoloni.

  Kama ardhi yetu ina kaa bure,
  iache ikae bure haiozi na haitaoza,
  Bonde la mpunga la usangu,
  madibila kapewa mwekezaji,
  analima nyonyo za Bi Diesel.

  Ni Kikwete na familia yake,
  ndiyo watumiao mafuta ya nyonyo,
  kuunga ndani ya mchunga?
  Ni Edward Lowassa na Regina?

  Siku watu walojazana Dar,
  wakishituka na kutambua njama hizi,
  wote kabisa tutakuwa tayari,
  watumwa ndani ya chi yetu.

  Nenda ulaya na vijisenti vyako,
  jaribu kununua ekari 200 tu?
  uone watakavyo kutoa mkuku.

  Nenda arabuni kajaribu kununua,
  kiwanja cha 20x20m uone jinsi,
  utakavyo tishiwa kuuwa na kuchomwa moto.

  nenda hata Zanzibar tu,
  jaribu kununua ardhi au shamba uone,
  jinsi ardhi ilivyo na thamani hata kama haitumiki!
  Na kama sura yako yafafana na mbara,
  wala usiote kununua.

  Huu ujinga wa kuchukua ardhi,
  vyanzo vya mito maziwa visiwa,
  fukwe na hifadhi za wanyama,
  na kuwapa wageni walowezi,
  kwa mikataba ya siri ni,
  kuirudisha tena nchi mikononi,
  mwa wakoloni.

  Wengi wanatamani fedha,
  magari nyumba kukoga watu wengine,
  kwa viwalo, vitrip vya majuu.
  watoto kusomesha Ulaya au Marekani.
  Wengi wako radhi hata kuuza nchi nzima,
  wakiahidiwa pepo ya hapa duniani.

  Unadhani wataishia kuuza ardhi tu?

  Baada ya rasilimali ya Ardhi,
  iliyokuu zaidi ni watu wenyewe,
  kwa kuuza ardhi yetu kishenzi hivi?
  ni kitu gani kitawazuia kuanza kuuza watu,
  yaani Watanzania kwa faida nono??

  Leo mwaweza dhani mimi Msalagambwe,
  ni punguani lakini nawaambia siku yaja,
  serikali yenu tukufu ya CCM itauza ardhi yote,
  kisha itaanza kuuza Watu wake yaani Watanzania.

  Hii inawezekana vipi?

  Watu ni biashara nzuri sana duniani kote,
  viungo vya watu ni biashara nzuri yenye faida,
  Dunia zilizo endelea zinahitaji,
  Viungo vyote vya binadamu kwa matumizi,
  ya kuviweka kwa binadamu wengine wagojwa
  kama SPEA PATI.
  Hivi niandikapo kuna watu kwa mamia elfu,
  Ulaya na Amerika wanasubiri Mioyo, Figo na Mapafu,
  yao yatolewe yawekwe mazuri ya wengine,
  Ili wapone maradhi yao.

  Figo moja $45,000-$100,000
  Moyo $75,000- $200,000
  Mapafu $ 150,00- $450,000

  List ndogo tu ya viuongo vinavyhitajika;
  Macho yote mawili,
  Figo zote mbili,
  Mapafu,
  Moyo,
  Ini,
  Bandama,
  Bone marrow,
  Ngozi
  Damu
  Mifupa,
  Utumbo nk nk nk.

  Itafika siku POLICE doria usiku,
  unakamatwa unapimwa damu ikimechi,
  unasafirishwa mzima mzima,
  Twiga wanawekwa kweye Cessna,
  na kusafirishwa nje!
  watashindwa kukusafirisha wewe?


  Viungo hivi vinahitajika sana,sana
  katika dunia zote zilizo endelea.
  Serikali ya China ilishitumiwa sana,
  miaka ya karibuni kwa kuhusuka,
  moja kwa moja katika biashara hii,
  wamekuwa wakikamata watu na kuwafungia,
  kwa makosa mengi madogo tu ya kisiasa,
  wanapimwa damu wanawekwa lupango,
  wanasubili mteja.
  Mteja akipatika wanakulaza nusu kaputi,
  wakianza kukuvuna firigisi,
  ndo imetoka hiyo.

  Ukisikia watu wanapotea,
  hasa baadaa ya kushikwa na vyombo,
  vya dola kuna uwezekano,
  mkubwa wa watu hawa kuuzwa,
  wazima wazima ili viungo vyao,
  vivunwe na kutumiwa huko ughaibuni,
  au watu wazima wazima kuvushwa,
  kimagendo hadi huko ughaibhuni.

  Mabinti wadogo wa kizungu toka Romania,
  wanarubuniwa na kupelekwa America,Italia
  Ufaransa na Uk na kuuzwa($7000.00) katika madangulo,
  wasichana hawa hulala na wanaume zaidi ya 20,
  kila siku,
  kwa ujira ambao huchukuliwa na mwenye dangulo.

  Rasili mali ya kwanza ni watu,
  ya pili ni Ardh
  i.
  Ukiona serikali inaingiza unajisi,
  na kuiuza ardhi moja ya rasilimali zake kuu,
  kwa wageni kama kuuza bangi,
  Jiulize nini kitawazuia Maharamia nunda hawa,
  kuuza watu wake?
  Wakiuza ardhi yote na matatio,
  mengi kuibuka,
  wengi wataanzisha fujo z hapa na pale,
  Huo utakuwa ni mmwanya safi,
  wa kukamata watu na kuwaweka kizuizini,
  kisha kuwavuna taratibu kwa faida nono,
  kama vile kuuza magunia ya bangi.

  Wengi tunajifanya wajanja,
  kisa tunaendesha magari,
  na vijumba kwenye kajiekari kamoja,
  huko madongo kusiko fikika siku zote!
  Tunakunywa mvinyo tunajamiiana kwa nguvu,
  na kuleta lumbesa ya watu wasio lelewa,
  na wazazi wote.
  Ardhi inauzwa hatushituki wala hatujali,
  ni jambo lisilo na uhusiano na maisha yetu.
  hatujiulizi?
  Makinda ya Makinda yet yatarithi nini???
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Hiyo ya madanguro nimeipenda kweli
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Aug 2, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Hii nchi, unaweza kupata kichaa! 25 cents for an acre of land?! Seriously?
   
 5. PatPending

  PatPending JF-Expert Member

  #5
  Aug 2, 2012
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 490
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  $100 mil katika miaka kumi, kwa hesabu za shule ya msingi ni $10 kwa mwaka ikiwa zitatolewa kwa mafungu yenye uwiano. Hiki ni kwango kidogo sana kuwekeza katika miundo mbinu kwa gharama tunazoelezwa kila siku na watendaji wetu. Huu ni ufisadi mtupu na inashangaza kuona utu wa mtanzania ukiuzwa, tena kwa kiasi kiduchu hivi.

  Haingii akilini leo hii Halmashauri ya Mji wa Kibaha itangaze kuuza meta moja ya mraba ya ardhi kwa shilingi 8000 kwa mzawa ilihali watawala wetu hawa hawa wanakubali kuuza meta za mraba 4900 kwa senti 25 za kimarekani ambazo ni sawa na takribani shilingi 400 (ukodishaji wa miaka 99 ni sawa na uuzaji na kwa mujibu wa katiba hata sisi wazawa bado ni wapangaji tu kwenye ardhi ya Tanzania).

  Huu ni ujinga na kuna watu wengi wanahitaji kuwajibishwa tukianza na waziri mkuu aliyewapigia chapuo bungeni.
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Aug 2, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  Wacha wauze ardhi wakimaliza wauze na wananchi,
   
 7. Nyamgluu

  Nyamgluu JF-Expert Member

  #7
  Aug 2, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 3,147
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Kuna mda nakataa kukubali kiwango cha ujinga wa viongozi wetu maana nahisi nikikubali nitajidhalilisha na mimi mwenyewe kama binadamu, mwafrika na mtanzania mwenye akili timamu, just by the mere association of being a level minded human being like them.

  Kuna viwango vya kufikiri inabidi viishie kwenye level ya watu wa mirembe!

  Kweli unakodisha ardhi kwa 25cents an achre!? Au kuna hidden advantages zingine. Ila never the less 25 CENTS (usd)!!
   
 8. zungupori

  zungupori Member

  #8
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  [h=2]Iowa firm accused of displacing Tanzanians for profit
  By Ethan Freedman | Last updated: Aug 2, 2012 - 9:45:47 PM[/h]

  WASHINGTON (IPS) - A major U.S. energy company, AgriSol Energy, is accused of engaging in land grabs in Tanzania that would displace more than 160,000 Burundian refugees who have lived there for decades, according to a report by the Oakland Institute, an organization focused on environmental issues. An ethics complaint from the Iowa Citizens for Community Improvement (CCI) states that AgriSol is benefiting from the forcible eviction of the refugees, many of whom are subsistence farmers, and leasing the land-as much as 800,000 acres-from the Tanzanian government for 25 cents per acre. "All duty and tax free," the Iowa CCI adds.
  The project could net AgriSol, led by co-founder Bruce Rastetter, as much as $300 million a year, according to the Iowa Ethics and Campaign Disclosure Board.
  Larry Ginter, a retired hog farmer from Rhodes and a member of Iowa CCI, said in a telephone conference that he was "outraged at the exploitation of the farmers there (in Tanzania)."
  "This is an old pattern that has been going on for years," he adds about AgriSol. "This is a classic case of colonialism, and is theft of the highest order."
  A spokesperson for AgriSol Tanzania denies those allegations and claims that the government had been the one that had instigated the movement of refugees. "We did not evict them," Henry Akona, director of communications for AgriSol Tanzania, told IPS.
  "Perhaps it has been mishandled," he said, regarding the movement of refugees. "But it's unfair for the Oakland Institute to mix AgriSol into it."
  The company's website states that the project is delayed at the settlements of Katumba and Mishamo "until the situation is resolved."

  The Tanzanian connection
  The AgriSol project was supported by the Tanzanian government under an initiative called Kilimo Kwanza-meaning "Agriculture First"-that was launched in 2009 by the Tanzania National Business Council to "promote agricultural development through public-private partnerships."
  The "public-private" partnership would, currently and in the future, aid ArgiSol in three different types of production: large-scale crop cultivation, such as food grains, beef and poultry production, and soy and maize production.
  AgriSol was set to launch a $100 million investment in Tanzania over the next 10 years. The stated aim of the program, according to AgriSol was to "help stabilize local food supplies, create jobs and economic opportunity for local populations, (and) spur investment in local infrastructure improvements."
  The demands that ArgiSol made included such lopsided conditions that AgriSol would effectively "pay less for land in Tanzania than for a Starbucks coffee in the United States," according to Anuradha Mittal, executive director of the Oakland Institute.
  Ms. Mittal, who conducted field research in Tanzania, said these policies have been supplemented by aggressive moves to stymie local businesses. "The people on the ground have been told they can't build new businesses," she said. "They have no other option left but to move."
  This partnership, according to the report, was also contingent on several other factors including that the Tanzanian government grant AgriSol a preferential "strategic investor status" and relocate the 162,000 people currently living in Katumba and Mishamo.
  While unfortunate, the company counters, AgriSol was simply engaging in a business relationship, since the refugees were set to move anyway. "AgriSol was like a potential new tenant," Mr. Akona explains.
  AgriSol Energy Tanzania, the company behind the Tanzanian operations, was a partnership venture between Rastetter's AgriSol Energy and the Tanzania-based Serengeti Advisers Limited. Iddi Simba, the former Minister for Industry and Trade for Tanzania was one of the heads of Serengeti Limited.
  According to a memorandum by Iddi Simba, written on behalf of AgriSol, the Tanzanian government "made AgriSol aware of three tracts of land in western Tanzania that were previously used as camps for refugees, but were, at the time, either closed or being closed."
  Mr. Simba, however, was not formally in government when he made the statement. He was forced to resign from his ministerial office in 2001 after issuing illegal sugar import permits.
  On AgriSol's website, AgriSol has claimed that they have "halted active development efforts" in Katumba and Mishamo, until the refugee situation is resolved. They state that they only have current plans in the Tanzanian towns of Kigoma and Lugufu, which has also held a refugee camp, and at a "smaller location near Basanza village."
  According to some Tanzanians, however, this process has been particularly unfavorable to the local population.
  "It's like someone climbing a tree and finding a poisonous snake-and below him there's a crocodile in the water," said Sembuli Masasa, an inhabitant of the Katumba district in Tanzania, according to the report.
  "If he stays on the tree, the snake will bite him. If he goes into the water, the crocodile will get him. That's the situation we're in."
  Children of the corn
  The corruption allegations against Mr. Rastetter are not confined to Tanzania.
  In June, the Iowa Citizens for Community Improvement lodged a complaint against Mr. Rastetter, calling for his removal as the head of the Board of Regents, which has control over the public school system in Iowa, including Iowa State University.
  Mr. Rastetter was appointed as a member of the Board of Regents by Governor Terry Branstad in 2011, a few months after Mr. Branstad's campaign, and was soon promoted to president pro temp.
  Mr. Rastetter had made multiple contributions to Gov. Branstad's campaign worth more than $160,000, and was the largest single contributor to the Branstad campaign, according to the Daily Iowan.
  "I didn't support Gov. Branstad to be a regent," Mr. Rastetter flatly told The Daily Iowan in 2011. "I supported him personally and raised money for him because I believed he would make a positive difference in Iowa."
  Mr. Rastetter, managing director at AgriSol, and the CEO at several other agriculture-based firms, had no specific education or training in education before receiving his position on the board of regents.
  Mr. Rastetter had been a large donor at Iowa State University. According to the Iowa State University Foundation, Mr. Rastetter has made a total pledge of $2.25 million to Iowa State University's College of Agriculture and Life Sciences.
  Initially, Iowa State University had trumpeted the project with AgriSol as a responsible agricultural investment, similar to other agricultural endeavors they had previously undertaken.
  "In the fall of 2009, AgriSol Energy contacted ISU to ask if we would provide advice and assistance on planning a small-farmer education program similar to our Uganda project," Wendy Wintersteen, dean of Iowa State University's College of Agriculture and Life Sciences, explained in a statement. "As in Uganda, an effort in Tanzania would focus on human nutrition, child survival, clean water and food security."
  According to Ms. Mittal, Mr. Rastetter was instrumental in enlisting Professor Kevin Kimle, who holds a chair which Mr. Rastetter donated in 2009, and Eric Peterson, a member of advisory board of the College of Agriculture at Iowa State University and general manger of Summit Farms, one of Mr. Rastetter's companies. They were both allegedly influential in getting Iowa State University to go forth with the Tanzania project.
  In February, the university withdrew support from the project, citing the public pressure over the venture.
  Iowa State University's withdrawal, however, has not stopped AgriSol from pursuing other academic partners. Ohio State University has also been approached for a partnership, according to Ms. Mittal.


  Huyu Idi Simba ni mashuhuri sana kwa madili ya aina hii, hivi kweli kuna mwanasiasa yeyote ndani ya tanzania ambaye sifa yake kuu siyo ujuzi wa kuhujumu mali ya uma? Ndio maana wabongo tukichaguliwa kushiriki katika tume tofauti za kimataifa tunashindwa kuchangia kitu cha maana except kucollect posho na kuchekacheka na kusign mikataba ya kipuuzi. Unaambiwa experience inakuja kwa kutenda kosa, pia makosa hujenga experience lakini huu msemo ni invalid kwa tanzania na afrika as a whole. Ukiangalia mataifa yooote bara la afrika, mchezo ni ule ule wazungu husema "like taking candy from a baby" yaani ni kama kumpokonya mtoto mdogo pipi peremende kitu easy sana. Mimi sina tabia ya kucheza kamari lakini niko willing kuweka dau kwamba hawa Agrisol watapeta na hiyo ardhi watakabidhiwa, we unafikiri kwa sababu dili limeshtukiwa ndio mwhisho wa game? Usishangaee kusikia mkataba ushasainiwa tena miaka mingi iliyopita kwahiyo sirikali inashindwa kuvunja mkataba, tena kwa sababu ya jeuri ya watanzania katika hii issue, serikali ya tz itawafukuza kila mtu (wakimbizi & wazawa) ili kuipa Agrisol ulaji wake.
   
Loading...