Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,286
- 5,870
Hahahaha, pamoja na Maelezo yote wanayotoa hapo kupnyesha kwamba Kenya mumeshindwa kuzalisha chakula cha kujitosheleza Bado unatosha?, Kenya is many decades behind Tanzania katika Kilimo cha chakula, Kenya itaendelea kutegemea chakula toka Tanzania kwa miaka mingi ijayo kama ambavyo rais wenu amethibitisha, get out from your ego and accept the reality
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona baada ya kuposti hii video ukafunga mjadala kabisaa