Leo nimeelewa. Ngoja nikamsome Mange kule instaHuyu ni mdogo wa mtu wa pili kwa umaarufu kwenye kaya kuu, mwenye kuelewa na aelewe. Napita tu....
Mkuu Mzito Kabwela,kwa hiyo huyu ni Second Mistress!!? The famous mother of two?Leo nimeelewa. Ngoja nikamsome Mange kule insta
Ndiyo maana kapata uDEDAgnes Mkandya ni shemeji yake Magu kwa mke wake Magu wa kwanza,ambaye ni marehemu.Agnes Mkandya kwao ni Sengerema mjini kitongoji cha Ibisabageni.