Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,626
- 5,346
Huyu mwanzisha uzi huwa namuangalia tu, toka kipindi kile cha uchaguzi uzi hata hauleweki anataka nini...?! Makamanda wengine tulishaona ni upuuzi toka watuletee stori za ajabu...achana nao hao wanataka kila sehemu wakae wao huko tra wamejaa hadi wanaongea kilugha ofisini,kinachotakiwa vigezo vimetimia basi inatosha
Hawa ndo mataahira ya ccm yanapiga kelele eti asilimia kubwa ya wateule wa awamu hii ni vijana? Haya buwaana!Ndiyo huyu ? AGNES MKANDYA.View attachment 370360 View attachment 370361
Anyambilile Anyosisye Ng'wang'alunyeAnyangiswe andulile mwakitako
Unamaanisha ni shemeji yake mkulu kwa mama J haya ngoja tupite woteHuyu ni mdogo wa mtu wa pili kwa umaarufu kwenye kaya kuu, mwenye kuelewa na aelewe. Napita tu....
du, anafaa....ana shepu nzuri, amejazia vya kutosha! hongera zake.Ndiyo huyu ? AGNES MKANDYA.View attachment 370360 View attachment 370361
haaaah haaaaa utapasuka na njaa zako. Siku nikikuambia amepatikanaje huyo utanielewa!mwenye akili anajua uzi unatafuta nini.Huyu mwanzisha uzi huwa namuangalia tu, toka kipindi kile cha uchaguzi uzi hata hauleweki anataka nini...?! Makamanda wengine tulishaona ni upuuzi toka watuletee stori za ajabu...
Kwa mtindo huu, tutaondoka kwenye hicho chama chake...
Nimeangalia picha yake kwa makini na nimejiridhisha pasina shaka kwamba anafaa sana kwahiyo nafasi
Amepatikanaje...?!haaaah haaaaa utapasuka na njaa zako. Siku nikikuambia amepatikanaje huyo utanielewa!mwenye akili anajua uzi unatafuta nini.
Well said bro. Ukabila hautupeleki kokote. Tumjudge MTU kwa utendaji wake. Tukianza masuala ya ukabila, udini au rangi hayatatufikisha popote.Tuwekeni mbali ukabila kwani kuna wale tulimsapoti Dr. Slaa na Lowassa japo si wasukuma.
Watu wanatofautiana katika kupenda ladha. Kuna wanaopenda vya nazi na wanaopenda chuku chukuNilidhani ni chuma kama vya awamu iliyopita!
Kama ni mchapakazi hodari ni vizuri.
We zamu yenu lini?Na bado akina masawe wamekula mno hii nchi sasa zamu ya waliooitwa tangu uhuru washamba ha haaas
Kumbe kuchapa kazi kunaoneka kwenye sura, haaaaAnaonekana mchapa kazi na sio akina Vick Kamata wa kipindi kile cha JK
NAULIZA TENA JAMANI, LUGHA HII YA MATAAHIRA INARUHUSIWA HAPA????Hawa ndo mataahira ya ccm yanapiga kelele eti asilimia kubwa ya wateule wa awamu hii ni vijana? Haya buwaana!
Bado hamjapona ule ugonjwa wa kuangalia "sura" na sio seraPicha zaja
Hahaha chuma na "hapa kasi tu" wapi na wapi? muda wa selfie ushapitaNilidhani ni chuma kama vya awamu iliyopita!
Kama ni mchapakazi hodari ni vizuri.