Agnes Mkandya, DED Gairo ni nani?

Mm naona kama mnatafutanjambo ambalo halitakiwi katika nchi hii wingi wenu hakuna athari yoyote kwa taifa hili.
Wingi wao unatuletea matatizo utawala bora umekuwa shida, dab ni wengi sana!
 
Kabla ya kumuoa huyu aliye naye Janth, alikuwa ameoa kwa mzee mkadya baadaye wakaachana. Huyu aliye naye ninwa pili.
Kwa hiyo hajapasahau kwa Mzee Mkandya...au tuseme hakulisahau hili zigo mdogo mtuu, haha...Magu noma, bingwa wa kuvitia vitumbua mchanga!
 
Nimeangalia picha yake kwa makini na nimejiridhisha pasina shaka kwamba anafaa sana kwahiyo nafasi
Hiv picha inaweza kuonesha pasi na shaka kwamba mtu anafaa kwenye nafasi yake?basi wewe ni balaa.
 
Wewe unasema ulikutana nar na mpaka kabila lake unalifahamu, unataka info gani tena kama si umbea?
 
Nenda TRA, CRDB au kwengineko kokote ambako CEO au mtu mwenye maamuzi aliwahi kuwa Mchaga kisha urudi hapa utupe report. Hakuna mbaguzi kama nyie mnaojiita WACHAGA. Ni mambo ya kuyaacha tu maana mtaleta mtafaruku huku ndani.
 
Ni kipi kikufanyacho uhitaji kumjua zaidi?
Je anatimiza wajibu wake ipasavyo au wewe umemtia dosari?
Inaonekana mleta mada una lako jambo,kama kawaida yenu wakosa sera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…