mathematics
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 3,324
- 1,116
Kampuni yetu inahusika na kuagiza na kuuza vitu vya electronics, computers, laptops, projectors etc. Kutokana ni ngumu kuagiza simu chaguo la kila mteja anayoitaka, tunachukua fursa hii kuwapa nafasi wateja wetu kutoa order ya simu/tablet anayoitaka, alimradi bajeti ya hiyo simu/tablets haizidi 500$.
Kwanini uagize simu/tablet toka usa?
una uhakika na u-orijino wa bidhaa unayoagiza, na pia unapata unafuu wa bei kwa bidhaa husika kulinganisha na ungenunua hapa tz, au na wakat mwingine unachokitaka hakipo kabisa tz.
Utaratibu unakuwaje basi?
weka jina la simu unayoitaka hapo chini, then nitakupa makadirio ya mchanganuo wa gharama wa hiyo simu ukijumlisha shipping mpaka unaipata mkononi. (makadirio ya simu unayoitaka yanaweza badilika wakati wowote)
Search hiyo simu au product kwenye online site yoyote ya Marekani, ebay/amazon/walmart then utupe link, hata wanazoship usa only tutakusaidia kulipia, na kupata hicho kitu in a max time of 3 weeks. (Express shipping by EMS ipo na haichukui not more than 10 days, ukiwa ready tutajadili faida na hasara zake)
sababu ni spesho order, mteja utalipa pesa yote ya simu/tablet in advance, kuepuka kuagiziwa simu inakuja halafu mteja analeta sababu nyingine. Malipo yote yatafanyika ofisni tu, na utapatiwa receipt kama ushahidi wa malipo ya gharama za kuagiza simu.
Kitachofuata ni wewe kusubiri wiki 3 tutakukabidhi simu yako. Zikipita siku 45 toka siku uliyopress order yako hujapata simu yako tutakurudishia pesa yote in full amount.
Simu/tablet ukishaletewa utatulipa 15% ya gharama ya simu/tablet jumlisha shipping kama ujira wetu wa kukuagizia simu, halafu ndipo simu utapatiwa mkononi mwako.
Makadirio ya shipping na bei hadi Dar es salaam
makadirio ya shipping hadi Tanzania, kwa economy shipping jumlisha bei ya simu jumlisha na 40usd, economy shipping ndio ambayo nimeikadiria maximum ni wiki 3 . Kwa Eepress shipping chukua bei ya simu jumlisha 60usd, Express hsipping ndio ambayo nimekadiria 10 days. Baada ya kujumlisha ndio unapata bei ya simu hadi dar es salam kabla ya 15% yetu.
15% yetu
unachukua jumla ya bei ya simu na shipping hadi dar es salam, jibu utakalolipata hapo juu, then unazidisha na 15/100 , hiyo ndio gharama kama ujira wetu, punguzo lipo kwa atayeagiza simu zaidi ya moja kwa wakati mmoja.
Ofis zetu zipo jengo la RUBADA, Ubungo Shekilango, ni nyuma ya jengo la Ubungo Plaza, baada ya Blue Pearl kuna barabara isiyo na lami inaingia ndani, mbele yako utaona ghorofa la rangi kijani/njano iliyopauka, ground floor ndipo ofisi zetu zilipo.
Changamoto na maswali yanaruhusiwa, but please kama thread haikuhusu save your jokes and non senses for other threads.
Note: Thread hii haifundishi kuagiza simu/product from online site au usa kwa namna yoyote, kama una swali kama hilo hapa sio mahala pake, sitajibu message yoyote wala usinisumbue kwa call ya namna hiyo. Asante
CLEVA TECHNOLOGIES, RUBADA building, Rubada Street, Ubungo Shekilango Box 4238 Dar Es Salaam Phone: 0714-345958 / 0752-858693
Serious clientele send pm or call; 0714-345958 / 0752-858693 , hisabati@gmail.com