Agi Masogange

Sidhani kama tuko kwenye ligi kaka, mimi kama mimi kwa mtazamo wangu na vigezo vyangu nimejiridhisha kwamba ni mzuri, simwambii wala kumlazimisha mtu yeyote yule kufata msimamo wangu.

Na pia ninaomba niendelee kutolazimishwa na mtu kubadili maamuzi au kuelezea vigezo nilivyovitumia kusema kwamba huyu ni mzuri.

Nimeona list ya usiowapenda, hebu weka ya unaowapenda nayo.

Napenda mwanamke ambae atakuwa opposite na nilichokiandika
 
Napenda mwanamke ambae atakuwa opposite na nilichokiandika

Nikisoma ulichokiandika naona kama umewakataa wote!

To be positive, orodhesha kwamba nampenda mwanamke wa hivi, hivi, hivi na hivi.
 
Mh njoo huku kuna mtu anastaili udc!vijana wako wanamponda heti hafai,WANAJIFANYA VIPOFU WAKAT MPAKA MIWANI UMEWAPA
 
Lazima atakua anajisikia mrembo kweli kweli maana picha zake zinajadiliwa mpaka jamii forums
 
uzur upo kwa ndan kwa nje wanatuongopea tu!
ukitaka kuprove hata k nazo zipo tofauti sana kuna nzur kimuonekano na mbaya pia...

orginaly, UZURI UPO KWA NDANI KWA NJE MBONI ZA MACHO ZNATUDANGANYA SANA NA KILA MTU ANA HISIA TOFAUT.

Flat screen msikose aman, mi penda sana mamiss.
 
Mnawapandisha watu vyeo bure tu... Sidhani kama Hii no mada nzur, ya msingi, muhim n yenye kupanua watu maarifa. Kama ni warembo mtaan kwangu Huyu top 10 haingii. Samahan lakn.
 
Back
Top Bottom