Agi Masogange

Raimundo

JF-Expert Member
May 23, 2009
13,416
12,604
Mchina au real!

Agi Masogange.jpg Agi Masogange.jpg
 
Huyu mwanamke ni wa kawaida.. Huko nyuma hata hakuna uwiano sahihi...
 
Mbona wa kawaida, ina maana mwanamke akiwa na kiuno kidogo na tukunyema kubwa ndo anakuwa ni mzuri? Ama wewe uzuri kwako hasa unautafisiri vipi

Mkuu nimesema niweke picha nzuri, ila wewe umeona kama nimesema mzuri! Tofautisha vitu hapo, uzuri wa picha na uzuri wa mtu!

BTW, kutokuwa mnafiki, mimi namwona ni mzuri.
 
Hio sheria ikipitishwa itawaumiza sana hawa ma star. Maana am prety sure aslimia kubwa wanatupia ili jamii ione. Na tutaonàje wenyewe pasi ku share na mwenzako ama wenzio. So hio sheria ina pande mbil za faida na hasara pia.
 
Mkuu nimesema niweke picha nzuri, ila wewe umeona kama nimesema mzuri! Tofautisha vitu hapo, uzuri wa picha na uzuri wa mtu!

BTW, kutokuwa mnafiki, mimi namwona ni mzuri.
Wewe mpaka mwanamke unasema ni mzuri unakuwa umechukulia vigezo gani, huenda kwa kutumia vigezo vyako mzuri kwako mimi anaweza akawa mbaya ama mrembo kwangu wewe anaweza akawa ni kituko.Mfano mimi sipendi mwanamke mwenye matak0 makubwa, sipendi mwanamke mwembamba wala mnene, sipendi mwanamke mweupe wala maji ya kunde, sipendi mwanamke mwenye vigimbi, sipendi mwanamke mwenye sauti nyororo, sipendi mwanamke ambae anaska ama anaenda aluni kuwekwa dawa sipendi mwanamke anaevaa wigi,sipndi mwanamke anaepandabodaoda hata km anawahi mwaliko wa ikulu
 
Sidhani kama tuko kwenye ligi kaka, mimi kama mimi kwa mtazamo wangu na vigezo vyangu nimejiridhisha kwamba ni mzuri, simwambii wala kumlazimisha mtu yeyote yule kufata msimamo wangu.

Na pia ninaomba niendelee kutolazimishwa na mtu kubadili maamuzi au kuelezea vigezo nilivyovitumia kusema kwamba huyu ni mzuri.

Nimeona list ya usiowapenda, hebu weka ya unaowapenda nayo.
 
Back
Top Bottom