Mheshimiwa,
nimekuona physically na kwenye TV ukikemea ubadhirifu katika halmashauri zetu.Umezungumza kwa ukali na kuguswa na matatizo mara zote.
Kote ulikopita hakuna mabadiliko,majengo uliyoyakataa bado hayajashughulikiwa na pia wezi wa halmashauri wakiwa bado wanaranda.
Kama ukweli uliyokuwa unasema na kufanya yanatoka moyoni naomba uwe wa kwanza kujiuzulu.
Naamini utarudi bungeni kwa heshima kubwa na wote tutakuwa nyuma yako.
Ajiuzulu kwa nini? Hivi kuna Halmashauri na Manispaa ngapi? Wabunge wote wanaingia ktk Halmashauri na Maniuspaa hizo kwa nini WASIJIUZULU Wabunge wote walipojiongezea posho hamkusema Ni bora. A. Mwanri azivunje km Sumaye aluuvyovunja ya JiJi la Dar
mwanri ni mchapakazi na ana uchungu na pesa za umma
Kwba ajiuzulu haina mantiki.Mheshimiwa,