Aggrey Mwanri yuko wapi?

Ni mmoja wa wasimamizi ninaowakubali kinoma. Yuko wapi huyu jamaa? Hana nafasi ya kuwa kwenye baraza la mawaziri?
Hata mimi namkubali sana. wamemtema tu kwa kuichukia ccm hao wamangi lakini mwanri ni mtendaji mwenye tija kubwa serikalini. inaonekana anafaa kuitumikia serikali yenye kaulimbiu 'hapa kazi tu'
 
Mkuu mmenikatisha tamaa nilikuwa namkubali sn hasa anapojibu masuali ya wabunge..
 
Hata mimi namkubali sana. wamemtema tu kwa kuichukia ccm hao wamangi lakini mwanri ni mtendaji mwenye tija kubwa serikalini. inaonekana anafaa kuitumikia serikali yenye kaulimbiu 'hapa kazi tu'

Huyu jamaa kama ni mtendaji bas ccm haina watendaji kabisa.......Huyu mpiga dili ungejua,mateso wanasiha wanayopata usingesema.....huyu alikuwa dalali wa ccm....wa kuza ardha ya siha .....kwa wawekezaji ....wananchi wanaishi kwenye makorongo...hawana ardhi yy nawenzake wa ccm wanaenda uchina na ulaya kutafuta wanunuzi.....wachaga wamemkataaa....
 

Siha ni ya wachaga....acha uongo wa dhahir.....
 
Mkuu mmenikatisha tamaa nilikuwa namkubali sn hasa anapojibu masuali ya wabunge..

Hahaaa atakuwa anaangalia wenzake wanavyojibu maswali kwenye runinga ......mbunge huyu ni alikuwa mzigo her gunia la misumari kuliko Mwanry haonyeki hashauriki ...kwaher Mwanry....
 
haya meku,.. ila picha tuliyokua nayo ni mchapakazi sasa nyie ndio alikua mtu wenu ndio mnajua zaidi.
 
haya meku,.. ila picha tuliyokua nayo ni mchapakazi sasa nyie ndio alikua mtu wenu ndio mnajua zaidi.

Yaan huyu ni dalali nashukuru na Gama ameondoka Shamba la west kilimanjaro halitauzwa tena...wakati hatuna Ardhi kabisa watu wanaishi kama wakimbizi......huyo ni nyapara ila ni hana chochote ni kubweka kama Mbwa tu....... Siha inamatatizo makubwa ni wilaya tajiri sana ila wananchi wengine hata makaz ya kuishi hawana ni wakimbiz kwenye nchi yao.....Jamaa kapewa uwazir ndo kaishia huko...saaa na wananchi wamepa ticket ya moja kwa moja...
 
Ni mmoja wa wasimamizi ninaowakubali kinoma. Yuko wapi huyu jamaa? Hana nafasi ya kuwa kwenye baraza la mawaziri?

yule anapenda show za kwenye tv,kufoka wakat mambo yashaharibika haisaidii
 

...Rais mmasai.?!
umekunywa nini?
 

Mbona usukuma hauusemi? Mz tumeanza kuonja suruba za ccm=bei za vyakula
 
Magufuli amfanye kuwa mbunge wa kuteuliwa. Mwanri ni one of efficient taskforces.,; asimwache.
Tunakosea sana kumng'ang'ania mtu mmoja kana kwamba hakuna wengine wenye uwezo zaidi yake.
Kuna wengi tu
 

Well said! Baelezee mwanangu
 
Hivi Arusha kabla na baada ya Lema hali ikoje?
 

Acha mahaba ya kipuuzi kijana..kuzaliwa huku sio kujua au kutokujua ya unachokisema. unachozungumza ni habari za mababu wa ccm waishio huku.
1. Hoja ya kuleta halashauri ni mchakato ulianzwa na mbunge aliyeondoka sio mwanri, pili mbunge hawezi ku influence kuletwa halimashauri kama sehemu husika haijatimiza vigezo. ZINGATIA VIGEZO VYA SEHMU KUTENGWA KUWA WILAYA.
2. Hoja yako ya kusambaza umeme ni propaganda za kijinga..niambie kijiji gani mwandri kapeleka umeme? mese?,ngaron?,kyaboo?, Orkorir, au wapi? kma ameleta umeme hiz nguzo zinazopita sasa za REA za kuanikia nguo?
 
Yeah, Mwanri ni miongoni mwa wanaCCM wachache wanaotambua wajibu wao kwa uma, hata hivyo, naheshimu sana maamuzi ya wananchi wa Siha ya kufanya mabadiliko.
 
Mollel aliyemtoa Mwanri, ni Boya. Katumia ujinga wa wamasaai na ukabila kwani Sia 70% ni wamasai. Molell hamna kitu he is good 4 nothing....! Mwanri anafaa wait!

Acheni ubaguzi. Hao hao unaowaona wajinga kwa ujinga wako ndio waliomchagua na pengine watamchagua tena LEMA badala ya Philemon Mollel. Kumbe mnapenda kuwa wabunge kupitia wajinga ila hamtaki kuangushwa na wajinga. Post yako imenikera sana na inadisappoint sana. Wewe unawaona wamasai ni wajinga wakati unamheshimu LEMA, SOKOINE, LOWASSA na wengine wengi wanaopelekwa bungeni na hao unaowaita wajinga???
 

Hebu tuambie Mwanri amefanya nini hapa Siha zaidi ya kuwafukuza wananchi kwny maeneo yao wakahamia kilindi eti anadai anajenga kiwanda.
 
Mwanri hawafai watu wa siha ndiomaana wamempiga chini.
Punguza jazba heshimu maamuzi ya wapiga kura.

Mwanri anachukiwa sana na wanasiha kwajuwa ameuza nyumba zao na kuwadanganya eti anawajengea kiwanda....pia anajali uwaziri wake na kusahau watu wa jimbo lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…