Aggrey Mwanri yuko wapi?

Magufuli amfanye kuwa mbunge wa kuteuliwa. Mwanri ni one of efficient taskforces.,; asimwache.
 

hakuna anayemlilia mwanri acheni porojo za fb..mollel hakuchaguliwa kwa ukabila..udhaifu wa mwanri ndo umempa credit mollel. we utasema mwanri jembe ni kweli ila bungeni nakusimamia shughuli za serikali ila sio jimbon kwake. kama ukabila umemuondoa mwanri siha, siha isingeweza kuongeza kata kumi kutoka kata moja na hao madiwan sio wamasai wapo na wasiha pia.
 
Reactions: Art

Hii ni dharau kwa Wamasai. Kwani wao wamepungukiwa nini?
 
ubunge sio familia yako..n dhamana uliyopewa na wananchi, kuwa karbu na wananchi maisha ya ubunge yatakuwa mepesi tofauti na hapo wananch wa sasa sio wa miaka ileee...watakupiga chini tu.
jifunzeni kwa wabunge kama chenge..nyie mtasema fisadiiii mtaimba weee fisadiiii lakn akienda bariadi anachukua kiulaini na akiwa bungeni km hayupo vile ye anafanya yake kimyakimya.
au km mh lowasa wakat wa kujiuzuru kwake bungeni na mitaani mnaimba weeee fisadi fisadi...alivyorudi monduli kapokelewa kifalme.
 

Sheee!!!!! Yeroh!!!! Wew unaishi siha ya wap au umeamia nin ,upatikanaji tu wa hii wilaya ,kutoka hai ni juhudi za mwandri ,achilia mbalia uapatikanaji uasambazwaji wa umeme huduma za afya na maji huko vijijini ,huyu dogo kasambaza chuki za kikabilia ili achuguliwe na wamasai walio wengi,kupitia mgongo wa lowasa
 

Tatizo ccm mnaakili ndogo sana na mnafundishwa kutuletea ukabila ....
 
mwanry ni msanii sana,mliwahi kusikia anarudi mahali fulani kufuatilia utekelezaji wa maagizo aliyoyatoa kabla?
 
Mwanri ni mpiga dili tangu akiwa hog mlimani. Huwa ana mbwembwe nyingi kwenye majukwaa na kadamnasi lakini utendaji na ufuatiliaji ni ziro
 
mi nipo siha, huyu jamaa nyie hamumjui, ni mbwembwe tu za kwenye media. pyuu!!!
 
Dr Mollel ni jembe, mchapa kazi na jasiri, wana Siha msiwe na wasiwasi mna chaguo sahihi kabisa na mtaliona hilo soon, mpeni mbunge wenu ushirikiano mtafaidi matunda ya kumchagua.
 
mi nipo siha, huyu jamaa nyie hamumjui, ni mbwembwe tu za kwenye media. pyuu!!!

Unajua mkuu maccm ni mizigo wote na watu wa kilimanjaro wanahitaji maendeleo sio mijisifa isiyo na maana....Wakiona Mwanry abafoka wanajua et bonge la Mbunge kumbe ni zero......
 
Unajua mkuu maccm ni mizigo wote na watu wa kilimanjaro wanahitaji maendeleo sio mijisifa isiyo na maana....Wakiona Mwanry abafoka wanajua et bonge la Mbunge kumbe ni zero......
Northern hemisphere
 
Analima viazi ulaya huko West Kilimanjaro.

Hahaaa.......ni muongo yule jamaaa kuliko ccm wote nilishawahi waona humu duniani........alizoe kudanganya watu ,,kawadanganya kwa miaka 15 juz wakaamua kumuadhibu......viaz ulaya hawez kupanda west ..analima kilimo cha migimba pale kwake.....
 
Northern hemisphere

Acheni ukanda....??? Mwanry ni zero ni mbunge peke yake ambaye kwa mkoa mzima wa kilimanjaro ,wanafunzi walikuwa wanakaa chini wakati kuna shamba la miti la west kilimanjaro....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…