Aggrey Mwanri yuko wapi?

Sadoseba

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Posts
243
Reaction score
92
Ni mmoja wa wasimamizi ninaowakubali kinoma. Yuko wapi huyu jamaa? Hana nafasi ya kuwa kwenye baraza la mawaziri?
 
mwari ni jembe huko siha wameshaanza kumlilia , upepo wa lowasa umewapitia wamasai , bila ya kujielewa wakamchagua moleli kwa kuwa ni mmasai mwenzao , yaan rais mmasai , na mbunge mmasai na madiwan wamasai , kwa sasa ndio wanaongoza halmashauri , tusubiri tuone hatma yao
 
Bado Anatafakari Ameshindwaje Ubunge.
GENTAMYCINE msiwe na hofu huku tunazidisha maombi kwa Jembe km hilo
ili Rais Magufuli amchague katika Wabunge wake 10 na kumpa uwaziri wa Ujenzi ili akawamalizie hawa wanaSIHA barabara za huko Donyomoro
kweli Mfalme hatambuliki kwao
basi hata wamrudishie TAWALA ZA MIKOA chini ya PMO
sijui kosa lake ni kuvitambua vijiji vyote Tanzania na Majina ya wakurugenzi wote wa Halmashauri, Manispaa na majiji ndio WanaSiha wakachukizwa
kweli watamkumbuka hasa kwa zile barabara za milimani ambazo hakuna tena ila Lushoto
 

Kwa kauli hyo umedharau wamasai kua hawawez kuongoza hvi wao wana kosa gani jamani??? Kuna tofauti gani ya walichokifanya watu wa geita,simiyu na shinyanga na hao wamasai?? Magufuli asingekazana kuomba kura kisukuma huend yasingetokea pia!!! Msilaumu upande mmoja nilikua namsikia sana magufuli anasema " mtanyima mm kura wa hukuhku??" Wa nyumbani kabisa na babu yangu amezikwa hapahapa??? Na wao waliona wampe wa kwao si mcheza kwao hutunzwa??? Wasukuma nao wamempa msukuma ubunge,urais na madiwan!! Pole sana Mwanri I'm gonna miss ur deep voice tho!
 

Akili nyingine ni mbaya sana hapa nchini.Kama hizi ndo fikra zetu basi nchi hii kusonga mbele ni kazi sana.
 
Mimi nasikitika kwa mara ya kwanza mikoa ya Kilimanjaro na Arusha hatutakua na waziri yeyote wa kuchaguliwa na wananchi.
 

Hivi nyie MAGAMBA msipozungumzia ukabila mnaona hamjacoment ?! Inaboa sana
 

mtu apewe nafasi yake kwa uwezo aliokuwa nao , sio kwa vile ni msukuma mwenzetu, masai mwenzetu, mchanga mwenzetu , apewe uongozi hatakama hana huo uwezo haikubaliki ,
hichi ndio kilichotokea huku arusha, na huko mwanza ,shinyanga
 
Hivi jamani kutaka mtu awe mbunge muda mrefu, Hii nchi tumelogwa hakuna watu wengine. Tanzania pengine in nchi pekee ambayo MTU anaingia bungeni akiwa kawaida kabisa lkn kutokana na kurudishwa bungeni kila uchaguzi ambako hatutokani na utendaji wake anabadilika na Kuwa tajiri wa kutupwa na hivyo kuendelea kuwarubuni wapiga kura, ubunge unafanywa Kuwa ajira ya kudumu. Hata huo utendaji unaozungumzwa hauna ushahidi zaidi ya mbwembwe alizonazo huyo mheshimiwa wakati wa kujibu maswali.
 
Huyu jamaa yupo vizuri....namfahamu miaka mingi tangu tukiwa chuo cha ccm Kivukoni .
 

wewe kiazi peleka ukabila kwenu ng'ombe wewe!
 
Mollel aliyemtoa Mwanri, ni Boya. Katumia ujinga wa wamasaai na ukabila kwani Sia 70% ni wamasai. Molell hamna kitu he is good 4 nothing....! Mwanri anafaa wait!
 
Mollel aliyemtoa Mwanri, ni Boya. Katumia ujinga wa wamasaai na ukabila kwani Sia 70% ni wamasai. Molell hamna kitu he is good 4 nothing....! Mwanri anafaa wait!

Mwanri hawafai watu wa siha ndiomaana wamempiga chini.
Punguza jazba heshimu maamuzi ya wapiga kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…