Mungu Mweusi JF-Expert Member Oct 20, 2014 1,474 1,080 Feb 28, 2016 #1 Mwenye taarifa jinsi ya kuwa agent wa cement ya bei nafuu ya Dangote, atujuze
Usedcountrynewpipo JF-Expert Member Aug 1, 2012 3,636 2,726 Feb 28, 2016 #2 Kuna kipindi walitangaza kuwa wanatafuta ma agent... Sasa inabidi utafute meneja wa masoko wa eneo husika atakusaidia. Otherwise uende kiwandani...
Kuna kipindi walitangaza kuwa wanatafuta ma agent... Sasa inabidi utafute meneja wa masoko wa eneo husika atakusaidia. Otherwise uende kiwandani...