Mr Kazembe
JF-Expert Member
- Mar 24, 2019
- 392
- 529
Nimetumiwa pesa kupitia western union shida ni kwamba kitambulisho changu kipo mbali namimi ila nishakipigaga sana picha ninacho kwenye simu...
Nilikua nauliza je nawezakutoa pesa kupitia hicho au utalatibu upoje... Ahsante sana kwa atakae nipa ufafanuzi
NB: Niliwaza nikitoe kisha nipate copy yake niende na copy ni pesa ndogo tu nimetumiwa dora 119