funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 38,534
- 31,198
Bado kama Taifa yatupasa kuakisi agenda muhimu za uchaguzi.
Kwangu mimi bado narejea katika agenda mama ma za msingi zilizowahi kusemwa mara baada ya kuoata uhuru.
Bado kama Taifa hatujakamilisha kwa kiwango stahiki utekelezaji wa agenda na maono haya muhimu yaliyowahi kutajwa miaka hiyo wakati uhuru unatafutwa na baada ya uhuru kupatikana.
Bado tunaidai CCM na vyama pinzani kuhusu mipango na utekekezaji wa mipango iliyowahi kuwekwa kukabili maadui hawa watatu.
Kamwe siamini kama kikwazo cha kuzifikia agenda hizi ni katiba la hasha bali ni mikakati endelevu tena isiyobadilishwa au kuyumbishwa na mabadiliko katika sayansi na teknolojia.
Upo mfano muhimu sana wa namna gani tukiamua kusimamia roadmap iliyowekwa na waasisi wa Taifa tunaweza kufika mbali sana...
Magufuli alianzisha ujenzi wa bwawa la Nyerere na leo hii changamoto ya umeme imekuwa ni historia.
Tembelea kila mji utakuta zone za viwanda (bado hatujavifanyia kazi )
Tembelea kila sehemu utakutana na Shule za sekondari ,vyuo vya kati na vyuo vikuu vilivyowekwa kimkakati.
Hizi ndio hoja muhimu za kuibinya ccm ili zitekekezwe kikamilifu.
Ni bahati mbaya sana kuona vyama vya upinzani vinakuja na kutaka kututoa kwenye agenda msingi na kutaka tucopy usanii wa walami.
In this case therefore we need to reserve the conservative party such as CCM ili kuona matokeo ya kile waasisi wetu walichokiona na kutabiri kinatokea.
Bado kwa mfano hatujafanikiwa kuleta tija ya mkulima wa kawaida ...
Bado hatujamaliza kumfanya indegenious apate elimu yenye tija na bado hatujakamilisha kuona mwanakijiji anapata huduma bora ya afya alipo na kwa gharama nafuu pale alipo .
Bado hatujamjaza mapesa (Namkumbuka CHEYO) nwananchi.
My ambition and expectation ni kuona Chama nguli na mwanasiasa machachari akiibua hoja hizi anapopambana na CCM,Badala yake wanaibuka vibaraka wa walami na kutaka kutuletea agenda mpya zisizo na mashiko katika maisha yetu ...very sad.
Bottom line...Vyama vya siasa vijikite kwenye mjadala,mipango na maono yanayolenga misingi muhimu ya kuanzishwa kwa Taifa la Tanzania.
CCM ipongezwe au izodolewe katika muktadha huo na sio muktadha wa AI.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!