Kwa mnaosubiri miujiza toka kwa JK juu ya kuwawajibisha wahusika wa sakata la TEGETA ESCROW ni vema mkatambua kuwa AG Werema alishastaafu kwa mjibu wa sheria tokea November 30 2014.
Hivyo basi mtakaposikia anatangazwa AG mwingine msijedhani kawajibishwa.
Kwa ninavyomwelewa mkuu wa kaya ni kuwa atatangaza AG mwingine bila kuongea chochote kuhusu Werema ili watu muamini kwamba kamuwajibisha.
Hii taarifa ilisambaa sana kwenye vyombo vya habari. Leo nimeshangaa kusikia kajiuzulu. Dawa ni kutafuta CV yake na kuiweka bayana.