AG, Mshauri Mh.Rais Atoe Maagizo kwa Presidential Decrees Kuyapa Nguvu ya Kisheria

ninavyofahamu ni kuwa kuna FINANCIAL ORDER zina mwongozo ,hapa wapo warrant holder na kiasi walichoidhinishwa na majukumu yao ,pamoja na hayo imekuwa ikifanyiwa marekebisho kadhaa ni vyema wataalamu wahusika waje humu kuliweka sawa hili
 
Huu mtindo wa rais Magufuli kutoa maagizo kwa kauli tuu zisizofuatiwa na maandishi ya kuonyesha kauli hizo au maagizo hayo ni kwa mujibu wa mamlaka ipi na sheria ipi, kanuni ipi au utaratibu upi, sasa umeshika kasi, na kuhamia hadi kwa wasaidizi wa rais, mawaziri nao wanatoa maagizo kwa kauli tuu pasipo maandishi yoyote.

Mimi nilifanya kazi serikalini, serikali inafanya kazi kwa maandishi, madokezo.

Waziri wa mambo ya ndani alipotoa kauli wale polisi wahamishwe, kauli ile ilipaswa kufuatiwa na dolezo la maandishi, then RPC ndipo anatekeleza kwa kumuelekeza huyo OCD. Waziri kutoa agizo la kauli ya mdomo tuu, jukwaani, RPC hajapokea dokezo lolote, naye hajatoa maelekezo yoyote kwa OCD, huyo OCD ataanzia wapi kuwahamisha polisi?.

Sasa rais kampigia Simu IGP kumpa amri ya kumsimamisha kazi RPC, kwa simu na kuanzia saa hiyo hiyo!. IGP naye atamsimamisha huyo RPC indefinitely mpaka rais atakapo toa amri nyingine!. Wajemeni, huu sasa ndio utendaji wa kisasa wa serikali yetu?. Mtu ofisa wa hali ya juu na hadhi ya juu, a police commissioner, anapewa maagizo ya mdomo tuu bila maandishi yoyote na sasa rais anatoa maagizo ya kum suspend indefinitely kwa simu tuu kwa IGP!.

Kijeshi amri yoyote toka kwa senior kwenda kwa junior ni amri halali inatakiwa itekelezwe kwanza kisha ndipo uje kujenga hoja kama sio amri halali.

IGP atatekeleza amri ya CinC instantly ila this time ni kwa maandishi. Jee barua ya suspension ya huyo RPC itaandikwa ni sababu gani amepewa suspension?. IGP atamsuspend RPC kwa sababu rais kamsuspend au kwa sababu hakutekeleza amri halali ya waziri kuwahamisha askari?.

Kiukweli rais ana all the powers to hire and fire at his pleasure as he pleases but only to his appointees and not to every civil servants. Kwenye Civil Service Standing Orders kuna kitu kinaitwa hirach, most senior anatoa order kwa wa chini yake order hiyo inakwenda hivyo hivyo hadi kwa mtekelezaji. Waziri anapaswa kutoa order kwa IGP, then IGP anatoa kwa RPC, RPC anatoa kwa OCD, OCD anatekeleza kwa kuwahamisha hao askari kwa kuwarejesha mkoani kwa RPC wapangiwe vituo vingine au kazi nyingine. Waziri anatoaje order kwa OCD bila OCD kupokea amri yoyote kutoka kwa RPC wake, na RPC anatekeleza vipi amri ya mdomo ya waziri ambayo haikupitia proper channels za amri za kijeshi?.

Tufanye siasa kwenye mambo mengine yote lakini jeshi lisiendeshwe kisiasa, waziri ana haki ya kutoa amri yoyote lakini aitoe kupitia channel rasmi za kipolisi.

Kwa maoni yangu RPC anaonewa bure kwa kutotekeleza amri ya mdomo kwa sababu utendaji wa serikali ni kwa maandishi na sio kwa amri za mdomo.

Ikiwa baada ya amri ile ya waziri, dokezo liliandikwa na RPC akalipuuzia, then kuandibiwa ni halali yake. Ikiwa RPC pia alitoa amri ya maandishi kwa OCD, then OCD aadhibiwe, kuna amri za kipolisi zinaweza kutolewa kwa mdomo tuu na kutekelezwa kama zile la "kamata huyo sweka ndani", na kuna amri za kipolisi haziwezi kutolewa kwa mdomo tuu kama hiyo ya hamisha askari, lazima itoke kwa maandishi.

Ile simu ya jana ya rais Magufuli kwa IGP kuamuru kusimamishwa kazi kwa RPC, ni kama ile ya kusimamushwa kazi kwa RAS wa Mwanza, Dr. Feisal baada ya kutofautiana na RC wake enzi hizo Magesa Mulongo.

Kiukweli kuna vitu vinafanyika ndivyo sivyo, to me that is typical bullying!.

Hata hivyo hongera kwa rais Magufuli, sometimes bullying kwa kiwango fulani inakubalika kama ilivyo kwa punda, sometimes haendi shurti kwa mijeledi.
P
 
Huwa napenda watu wanaojua taratibu na sheria zetu. Hata juzi kuamuru watoto wafukuzwe na kulipishwa faini sio lake. Tatizo watu wanakanyaga sheria kwa kutumia hulka. Maagizo lazima yafuatiwe na maandishi la sivyo tutasubiri kusikia mdomo wa kiongozi fulani unasema nini. Tunatakiwa tujue kuna ulazima wa kuandika maagizo yetu ili hata siku tukipelekwa mahakamani tuwe na sehemu ya kusimamia.
 
Back
Top Bottom