Kumbe mwanasheria wa serikali huwa anawavua nguo mama yake, dada zake, mkewe, na kinamama wote ili kuhakiki jinsia! eti kasomea sheria TEHE TEHE TEHE hafahamu hata maana ya udhalilishaji wa jinsia na haki za binadamu. CCM imekalia kisiki kigumu kwa kumweka AG! kilaza!!!!!