Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,775
- 3,610
Aaaaah aka mie!! Kisa cha kukosa ...........Mbona rahisi tu? Embu njoo nijaribu kufyeka cha kwako uone kama ni ngumu.
Aaaaah aka mie!! Kisa cha kukosa ...........
Uamuzi mgumu sana huo.
Hahahahahah ngumu sana.....Aiii!!! jamani wewe si kidogo tu??? haitauma sana...ntakuwekea spirit.
Abadili na jina maana uanaume ndo huo ameshaukata sasa tumuweke kundi gani?Young_Master
Hahahahahah ngumu sana.....
Kwani sifa ya kuwa mwanaume ni kuwa na jinsia ya kiume tu?
Sifa ya mwanaume ni kuwa na RUNGU ndugu bila hilo we kushney
ni uamuzi wa busara sana.........
Kafanya jambo la busara.
Kitu kinacho kusababishia matatizo inabidi ukikate.
hakika jamaa kafanya maamuz magumu, duh hii ngumu kumeza,