Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,649
Heh hasira hasra, imekula kwake huyo
Tuone kama wataendelea kumgombea.........................bila ya........
Duh! Maamuzi magumu kweli!
Anaendeleaje?
lakini nimependa sana busara yake kwamba wanawake awanagombea mshedede to me namuona ana akili kweli manake hainiingii akilini watu wawili mnakuwa mnamgombea mtu mmoja wakati mibadala ipo tu? yaelekea yakwake inajua kaazi ya mfyonzo aisee na hivi warombo wanasifika kwa mifyonzo sijui?
Teh teh mh ni kweli, ila mh ngumu, kiungo kama hicho???Mimi naona alichofanya ni sawa kabisa maana maandiko matakatifu yanasema kama kiungo chako kimekukosesha basi kikate na ukitupe majini.
Kichaa
Teh teh mh ni kweli, ila mh ngumu, kiungo kama hicho???
Hana ana matatizo ya akili sio kitu cha kawaida hicho itabidi aende kupimwa akili Young_Master