Afya ya Rais Robert Mugabe(92) yazidi kuzorota

Afya ya Rais Robert Mugabe(92) yazidi kuzorota

Ila ingekuwa bora atangulie kwanza yule mwanamke mwenye lugha ngumu ndio afuate huyo Babu...Mugabe komaa mzee.
 
"Kwa taarifa za mpaka mwaka huu kuhusu utajiri wa Mugabe zinasema ana utajiri wa kiasi cha Dola za kimarekani milioni 10 ambazo zipo benki moja ya nje."


Million 10 tu wakati ameshikilia Zimbabwe for 36yrs?...Mh!

Labuda.

Hiyo 10M USD yaitwa Net Worth lakini kuna maeneo mengine mzee ana utajiri yaani miradi kadhaa, mali (assets) na mengineyo.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Nilikuwa nataka niiamini hadi niliposoma Dubai, Saudi Arabia!
 
Taarifa yako nzuri ila Dubai haiko Saudi Arabia Bali iko UAE yaani United Arab of Emirates
 
Mbona hiki ni kiwango kidogo sana cha pesa kwa mtu mwenye haiba kama yake! Tanzania kuna mawaziri wana kiwango kikubwa cha pesa kuliko hicho.

Mkuu, nimefafanua kidogo kwenye post #27

Hiyo ni official estimate na inachukuliwa hivyo kwa sasa.

Mama Grace Mugabe anaitwa jina la utani Gucci Grace likimaanisha ni mtu anaependa manunuzi hivyo hiyo pekee inaashiria ni vipi ukwasi usivyo tatizo kwa familia ya mzee jongwe.

Familia ya Mugabe ina portfolio yaani orodha ya nyumba na majumba, na mashamba ya mazao ya biashara na vyote hivyo vipo Mashonaland.
 
Back
Top Bottom