Asipewe hata maji huyo, mpaka awataje wote.
kwa hiyo kwa hiyo nawewe unataka kuwa wa daraja la juu kwa kuwa mkulupukaji? Huu ni ujinga na watu kama wewe ndio mnao irudisha nyuma hii nchi
Agosti mwaka jana Shehe ILUNGA katoa maagizo wakristo wauawe!... Leo anapeta!... kwa SABABU tu anatoka dini ya wakubwa wa nchi!.. Lwakatare (mkristo) kakamatwa waislamu mnashangilia!.
Nashangaa kuona watu wana mpinga Pasco kwa kusema video ya lwakatare ni genuine and at the same time wao wanataka tuamini kuwa video imetengenezwa kwa vigezo vyao ili hali na wao hawana ujuzi ktk video foreinsic.
Kama tunataka haki itendeke tuliachie jeshi la polisi limuhoji lwakatare juu ya kile alicho kizungumza kwenye video.
Kuna mtu kwenye YOU-TUBE anajiita BUKOBA BOY amepost hiki kitu kingine eti karatasi ya Lwakatare. Mimi haya mambo kwa kweli sijui. Ukweli uko wapi? Karatasi na mwandiko wa WILFRED LWAKATARE WAKATI AKITOA MAELEKEZO YA UTEKAJI - YouTube
Vipi Pasco na wewe unafanya kazi OBR nini???Tumuombe uzima na salama, maana mahabusu za polisi wetu na baadhi ya mbinu chafu za mahojiano, Mungu bariki Rwakatare sio tuu ni public fugure, bali pia anazijua hakizake mikononi mwa polisi!, angekuwa ni mwenzangu za mimi, saa hizi angekuwa umekwisha sema kila kitu!.
Pamoja na yote, mimi nimeiangalia clip ile na kujiridhisha ni "bonafide genuine!".
Pasco.
Sijasema kama wewe ni Pasco Mayalla, i was just thinking out 'LOUDLY' kutokana na maelezo uliyotoa mwenyewe. Anyway, sorry kwa kukukwaza, mods spare me from 'BAN'.:sorry:
Adui ni 100 times better than Yuda Iskariot!.
P.
Udini utakuua kijana!
Ukipigania haki siku zote unapaswa kufanya hivyo bila kuangalia dini, rangi au kabila la mtu.
Pole sana, nafsi yako itakusuta.
padre mmoja kauawa, mmoja kajeruhiwa kwa risasi na mchungaji mmoja kauawa.
Ingekuwa ninyi siyo wadini mtu yeyote angejifunza kwa msimamo wenu mzuri!... Nimepitia saaaana post zenu na baadhi ya wenzako nimejua FURAHA YENU NI KUU MNO kwakuwa LWAKATARE - mkristo amekamatwa. Nasi tunashangazwa saaana kuona SHEHE ILUNGA kawatangazia hukumu wakristo lakini mpaka sasa yuko mtaani kwa sababu tu yeye ni mwislamu!.
Mbona shehe ILUNGA HAHOJIWI? Yuko above the law
au dini yake inambeba?
Mbona video ya shehe ilunga iko mtaani kwa miezi 6 mpaka sasa?!... CD ya ILUNGA ina uzito sawa na ya Lwakatare?.. Lwakatare amekamatwa kwa ukristo wake!.. Asingekuwa mkristo hata mijadala hii isingekuwepo!...Mungine huyu,mzee tatizo la lwakatare sio tuhuma wala kushtukizwa nyumbani kwake ni video inayomuonyesha akipanga njama za kufanya uhalifu,msijaribu kupotosha hii,naona toka juzi mko busy kujaribu kufanya cover up badala ya kutafuta motive behind iliyomsukuma lwakatare kupata mkakati huo huku akijirekodi!
hilo swali waulize jeshi la polisi au leo umekosa imani nao kwa sababu kiongozi wa chadema amekamatwa ?
Mimi ni shahidi wa Jehova lakini sikubaliani na wewe kwa kauli zako za chuki.
Kama mungu angetaka asingeshindwa kutufanya wote kuwa waumini wa dhehebu moja.
Simamia ukweli ulipo irrespective of whether ni dini yako au la.
Mbona video ya shehe ilunga iko mtaani kwa miezi 6 mpaka sasa?!... CD ya ILUNGA ina uzito sawa na ya Lwakatare?.. Lwakatare amekamatwa kwa ukristo wake!.. Asingekuwa mkristo hata mijadala hii isingekuwepo!...
Usidanganye hata kidogo mimi ni mkristo ninayeujua ukristo!... Mashahidi wa Yehova hata kujadili siasa hawataki. Huwezi kumkuta shahidi wa yehova anausaka udiwani, ubunge, wala kushabikia siasa!....
Shehe ILUNGA kwa nini hakamatwi?!!!!!!!!
Inawezekana kabisa kuwa waliomuua au kujeruhi walikuwa waumini wa dini lakini motive yao ilikuwa ni nini?
Hilo ndilo swali unalopaswa kujiuliza. Kwa mfano walimshambulia kibanda wanaweza kuwa wakristo/ waislamu lakini sababu isiwe dini ya Kibanda au ya wauwaji.