Afya ya Lowassa yaimarika baada ya kuhamia CHADEMA

So long anapigiwa kampeni na mzinifu, Mbowe pamoja na yule mzinifu mehsnga, Gwajima basi hapo hakuna mkono wa Mungu bali kuna mkono wa shetani
Mzinifu anayejulikana ni mmoja tu, padre mzinifu Slaa ambaye pamoja na kuwa na wajukuu hadi leo bado anaishi na mchumba Serena Guest House.
 
So long anapigiwa kampeni na mzinifu, Mbowe pamoja na yule mzinifu mehsnga, Gwajima basi hapo hakuna mkono wa Mungu bali kuna mkono wa shetani

Too low, weka akiba ya maneno! "
Pili, mambo ya Mungu binadamu huwezi kuyajua
 

Roger that
Ht mi nimeliona hilo
 
Kuna kiongozi wao atakuja hapa JF na fake id na kusema hata afya ya Lowassa ni photoshop
 

Mkono wa mungu gani huyo?
 
Wapo binaadamu wa aina mbili..
1-Binaadamu wanaoguswa na mateso ya wenzao.
2-Binaadamu wanaopata furaha kutokana na mateso ya wenzao.
Tumuangalie Pombe..
1-Alichoma moto nyavu za mafukara(mtaji wao) akafurahi na kujisifu.Hakuna msaada aliowahi kuwapa.
2-Alishika meli halali ya Wachina,akawatesa,serikali ikapigwa faini.
3-Aliuza nyumba za umma,watumishi wakateseka akafurahi na akajitwalia nyumba nane.Hakuna nyumba alizozijenga tukanufaika.
4-Amewatumikisha wakandarasi bila kuwalipa huku akiwanyanyasa hadharani,na serikali ikapigwa faini ya bilioni 900 mahakamani kwa kutowalipa wakandarasi hao.
5-Kavunja nyumba za malofa wenzetu,nyumba ambazo zilipata vibali vya halmashauri,akawacheka na kuwaambia hata fidia hakuna.Utadhani kavunja nyumba za maadui.
6-Alivunja sheli za watu kwa chuki binafsi na serikali ikapigwa fine mahakamani.
7-Alipandisha bei za kivuko na kuwaambia malofa wapige mbizi na hakuna alichokiboresha zaidi ya vivuko kuzima majini.
NB:Hebu wachunguze kama watu watatu hivi wanaomshabikia Pombe,niambie roho zao nao zikoje ?
JE UNAYOSABABU YA MSINGI YA KUNIAMBIA KWAMBA POMBE ANAGUSWA NA MATESO YA WATANZANIA ?
 
mkuu umenda shule make ulicho kileta hp ni ukweli mtup,hti mimi nisha liona hilo
 
Mafisadi yote yamehamia UKAWA
Lizaboni haya ni matokeo ya vipimo vyako,na tumegundua bado unasumbuliwa na maadui watatu
1.UJINGA~ uliokuwanao ni kutojitambua
2.MARADHI ~yanayokusibu ni ccm
3.UMASKINI~unaokukabili ni kutoona mabadiliko waliopanga watanzania Oktoba 25

cc: Simiyu Yetu na #TeamZombie wote
 
Last edited by a moderator:
Ulishampeleka mamaako na kujipelea mwenyewe nini?
Changamkia fwedha ya fisadi, amehidi kuwamalizia umasikini,jiuzeni tu.

Mkuu kozi ya matusi umefuzu wapi kwa Mkapa au Kibajaj?
 
Ben kafungulia lugha chafu! Ona lizabon na masopakyindi walivyo. Ben alifanya hivyo Arumeru... Tukayaona ya lusinde...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…