Afya ya Lowassa yaimarika baada ya kuhamia CHADEMA

Afya ya Lowassa yaimarika baada ya kuhamia CHADEMA

Naipendatz

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2011
Posts
5,091
Reaction score
8,243
Nilikuwepo siku anachukua na kurudisha fomu Dodoma, leo nilikuwepo Ufipa wakati anachukua fomu. Kwa kweli Afya ya mzee wetu kwa siku ya leo na siku ile pale Dodoma tofauti sana.

Leo alionekana akiwa mwenye furaha sana, Ameweza kushika mike vizuri sana kwa kutumia mkono wake wa kushoto ambao ndio ulikuwa unamsumbua sana alipokuwa CCM.

Ameweza kuishika na kuibeba fomu vizuri sana kwa kutumia mkono wake wa kushoto.

Ugeukaji wake pia umeboreka, alipomaliza kusema peoples power aligeuka kwa speed kubwa na kumkabidhi mic Mr.Mbowe. Zile slow motion za ccm kaziacha huko huko magambani.

My take:
Nakushauri Mzee achana na marafiki wote uliokuwa nao CCM...
 
Hawa CCM kutwa kupigana wenyewe kwa wenyewe, kulogana ndiyo usiseme! siye twasimama na Allah peke yake anatosha
 
Inabidi tuwe makini sana katika uteuzi wa mgombea mwenza wa mamvi, Kuna uwezekano Mkubwa ye Ndo Muda mwingi atakuwa anatake presidential responsibilities wakati mkuu akiwa ujerumani hospital
 
Membe alikuwa anamloga, January alikuwa anamloga, Sita kigagula nae alikuwa anakoleza, Mganga Njeleja nae alikuwa moto ... Yaani magwiji wa kusafiri kwa Fisi akina Nchemba walikuwa bize kwa waganga balaa ...
Mkuu magamba wachawi sana wakiongozwa na kiongozi wao
 
Inabidi tuwe makini sana katika uteuzi wa mgombea mwenza wa mamvi, Kuna uwezekano Mkubwa ye Ndo Muda mwingi atakuwa anatake presidential responsibilities wakati mkuu akiwa ujerumani hospital
Mkuu msiogope, Lwaigwanan ameshawasamehe 7 mara 70
 
naukumbuka wimbo wa mbaraka mwinshe, tangu nihamie mtaa wa saba nikapandishwa na cheo.
 
Ccm ni mashetani walikuwa wana muuzi sana mzee wetu adi anashindwa kula mungu ni mwema lazima atakuwa poa sana siku zinavyo kwenda
 
Back
Top Bottom