Afya ya akili ya Robert Mugabe iko sawa ?

Umezingua nakutua
Ngoja nikuchoree labda utaelewa, nimesema akili ni sawa na nguvu za kiume kadri mtu anavyozeeka na zenyewe zinapotea (kupungua), yaani ukiwa na akili moto kwenye ujana pia nguvu za kiume utakuwa nazo za kutosha ila ukianza kuzeeka akili inachoka na hata hizo nguvu za kiume nazo zinapotea, ufanyaji kazi sio sawa na kipindi ukiwa kijana.

Kwa mfano huu na swali la mleta uzi nimefananisha akili ya Mugabe au bado hujaelewa na hakuna sehemu nimeandika kuwa nguvu za kiume zinazeeka, Uwe unasoma kwa uangalifu kabla ya kuweka komenti kuna siku utaonekana hujui kusoma.
 
Mkuu Viagra ndio inawaletea taabu wazimbabwe huyo Mzee pamoja na miaka hiyo humwambii chochote kwa huyo mama
Sasa kama angepata demu wa kwetu Tandika Mwembeyanga huyu mzee si angegawa hata BENKI KUU YA ZIMBABWE !
 
Vipi kuhusu Sizonje?
 
Anang'ang'ia dunia utazani ataondoka nayo
 
Kungangania madaraka ni issue moja na kumfukuza ni issue ya pili, nadhani ni vyema tukpewa sababu ili tuzijadili kama ni za msingi au la. Jë kama alitaka kumpindua na yeye madarka anayapenda unafikiri ungekuwa wewe ungemuacha. Kama gt tumjadili kisomi sio kwa hisia.
 
Si unajua waweza kuwa msomi lskini zezeta wa kutupwa? La wasomi wengi wa zzuumbabwi wamechoshwa na kusoma kwingi hivo wamechoka kufikiri.
 
Kwani amefanya nini mpaka useme hana Akili?
 
His time of power is over. Zimbabweans now you need another one with new ideas. Please old man step down peacefully and give chance to another one to take over for the development of Zimbabwe.
 
Afadhali yeye ni sababu ya uzee wa kwetu bado kiumri lakini kashikwa akili na mbabe wa Omarion..!
 
Hebu nitajie towauti iliyopo kati ya wananchi wa Tanzania, Zimbabwe na Uganda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…