tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,896
- 19,755
Waendelee kumpakata tu hakuna namnaAna shida ya upweke na msongo wa mawazo....
rumors is ..ni mtoto....so....

Wataalam wa afya ya akili wa kweli wamekatazwa kwa maadili ya kazi zao kufanya uaguzi mitandaoni.Naomba wale wataalam na Madaktari wa magonjwa ya akili waje watusaidie , na hakuna haja ya watu wasio wa fani husika kuingilia.
Kwa kipindi cha miezi ya hivi karibuni , aliyekuwa Msemaji wa Yanga na mtuhumiwa wa kumiliki pingu kinyume cha sheria , ndugu Jerry Murro ameibuka kuwa msemaji wa mambo ya siasa bila hata ya kuwa na cheo chochote kinachotambulika , amejivika usemaji wa ccm kiasi ambacho ni cha kutia aibu sana !
Kauli za hovyo anazotoa zimeleta mashaka kwenye jamii kiasi cha watu kujiuliza kama afya yake ya akili iko sawa .
Ni vizuri wataalam wa magonjwa ya mtindio wa ubongo wakatueleza kama ni mzima au la ili kumuepusha na makombora yasiyo ya lazima.
Natanguliza shukrani .
HUYU NI KICHAA TOKA ZAMANI, SIKIA CLIP HII NA SOMA YANAYOFUATANaomba wale wataalam na Madaktari wa magonjwa ya akili waje watusaidie , na hakuna haja ya watu wasio wa fani husika kuingilia.
Kwa kipindi cha miezi ya hivi karibuni , aliyekuwa Msemaji wa Yanga na mtuhumiwa wa kumiliki pingu kinyume cha sheria , ndugu Jerry Murro ameibuka kuwa msemaji wa mambo ya siasa bila hata ya kuwa na cheo chochote kinachotambulika , amejivika usemaji wa ccm kiasi ambacho ni cha kutia aibu sana !
Kauli za hovyo anazotoa zimeleta mashaka kwenye jamii kiasi cha watu kujiuliza kama afya yake ya akili iko sawa .
Ni vizuri wataalam wa magonjwa ya mtindio wa ubongo wakatueleza kama ni mzima au la ili kumuepusha na makombora yasiyo ya lazima.
Natanguliza shukrani .
Anajilazimisha mchaga kumbe mkolomije mtupu. Huwezi kujisingizia wazazi ukiwa sio taahira wa kiwango kinachowizdi watalaamu wa Mirembe.Nawaonea huruma sana wazazi wake .
Ameoa ujue...Ana shida ya upweke na msongo wa mawazo....
rumors is ..ni mtoto....so....
Ha! Ha! Ha!Ameoa ujue...
imethibitika mkuu asante sana , Mungu ibariki JFHUYU NI KICHAA TOKA ZAMANI, SIKIA CLIP HII NA SOMA YANAYOFUATA
Huyu Jerry Muro ana matatizo gani jamani?
Naomba wale wataalam na Madaktari wa magonjwa ya akili waje watusaidie , na hakuna haja ya watu wasio wa fani husika kuingilia.
Kwa kipindi cha miezi ya hivi karibuni , aliyekuwa Msemaji wa Yanga na mtuhumiwa wa kumiliki pingu kinyume cha sheria , ndugu Jerry Murro ameibuka kuwa msemaji wa mambo ya siasa bila hata ya kuwa na cheo chochote kinachotambulika , amejivika usemaji wa ccm kiasi ambacho ni cha kutia aibu sana !
Kauli za hovyo anazotoa zimeleta mashaka kwenye jamii kiasi cha watu kujiuliza kama afya yake ya akili iko sawa .
Ni vizuri wataalam wa magonjwa ya mtindio wa ubongo wakatueleza kama ni mzima au la ili kumuepusha na makombora yasiyo ya lazima.
Natanguliza shukrani .
Aiseeee !!!Kwa sasa ni mkuu wa wilaya ya Arumeru Arusha lakini ukifuatilia hekaheka zake unabaki umeduwaa!!! Yawezekana aliteuliwa kwa sababu ya "ukichaa kichaa" wake!!
Mara ajigeuze TRA asimame barabarani kukamata malori! mara ajiite mkuu wa mkoa! na leo kachanachana hadharani risala ya chama cha ushirika!!
Yajayo yanafadhaisha!
mkuu. kuna shule za msingi za vichaa, kuna sekondary za elimu maalumu/vichaa lakini je kuna chuo kikuu chochote wanaposoma vichaa? je vichaa wakifaulu mitihani yao ile ya msingi na hata sekondary wanaenda vyuo gani humu nchini? wakimaliza shahada zao za kwanza wanaenda wapi? je hakuna vichaa wenye PhD?Naomba wale wataalam na Madaktari wa magonjwa ya akili waje watusaidie , na hakuna haja ya watu wasio wa fani husika kuingilia.
Kwa kipindi cha miezi ya hivi karibuni , aliyekuwa Msemaji wa Yanga na mtuhumiwa wa kumiliki pingu kinyume cha sheria , ndugu Jerry Murro ameibuka kuwa msemaji wa mambo ya siasa bila hata ya kuwa na cheo chochote kinachotambulika , amejivika usemaji wa ccm kiasi ambacho ni cha kutia aibu sana !
Kauli za hovyo anazotoa zimeleta mashaka kwenye jamii kiasi cha watu kujiuliza kama afya yake ya akili iko sawa .
Ni vizuri wataalam wa magonjwa ya mtindio wa ubongo wakatueleza kama ni mzima au la ili kumuepusha na makombora yasiyo ya lazima.
Natanguliza shukrani .
Mkuu umepotea sana, upo?shida ya upweke na msongo wa mawazo....
rumors is ..ni mtoto....so..