Afya, maji,elimu,UMEME, barabara,usafiri ni mzigo kwa taifa, je CCM wamefanya nini for 50+yrs?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Afya, maji,elimu,UMEME, barabara,usafiri ni mzigo kwa taifa, je CCM wamefanya nini for 50+yrs??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by luckman, Sep 26, 2011.

 1. l

  luckman JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Haya mambo yapo sana, sisi tumezaliwa tumeyasoma na mengine tunayaona!kawaida ya kipindi kama hiki mambo kama haya huweiz kuyakwepa!watu wako kwenye breaking point, wanataka mabadiliko kwa gharama yoyote nad soon tutaona makubwa saana, upande wa pili wanaumiza vichwa, washashika hatam, wamenogewa ila wamaharibu, sasa wanawaza ni jinsi gani wafanye but it is too late, watawalinda akina rage, na wenzake lakini mwisho utafika haya yote watayajutia, look at zambia!yuko wapi ghabo, yuko wapi mzee wa maisha wa misri, yuko wapi tajiri wa tunisia, angalia kenya, uliona wapi waziri mkuu mshahara wake mkubwa kuliko rais, yalitokea mangapi na siri ni nini,????alama za nyakati kaka watu hawawezi kusoma, huwezi kuongoza watu kwa kipindi hiki chote 50+ na bado watu hawana dira, hawana umeme, hawana barabara, hawana shule za uhakika, hawana hospitali, hawana usafiri, elimu yao ni ya uraia wanayoipata toka kwa viongozi wachache wa cuf, chadema,nccr! Je dhamana ya nchi nani kapewa???tunaona na tunajua, pesa zinaliwa watu wako kimya na sio kwamba hawajui! Nyie ombeni uzima!'''TUNAYO MATATIZO MAKUBWA LAKINI VIONGOZI WA TANESCO NA SUTI KABISA, NA MIWANI MTU ANASEMA HAKUNA ATHARI ZA UMEME SO FAR BADO UTEGEMEE MAKUBWA KUTOKA KWA WATU WA NAMNA HII???''
   
 2. Comrade Mpayukaji

  Comrade Mpayukaji Senior Member

  #2
  Sep 26, 2011
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ndugu yangu. Ulitakiwa kuuliza baada ya Nyerere kung'atuka CCM wamefanya nini?
   
Loading...