Afwandeeee

Kuna siku Swissme nataka niingie kichwani mwako nione huwa unafikiria nini?? You are funny, crazy but sometimes unpredicted. xxxxxx Winter imeisha badili avatar yako.
hahaha bongo joto lakini hayo ndio mapigo yangu familia yangu ni wazungu mimi ni mtoto wa kishua nimeanza kuangalia Tv nikiwa niko na umri wa miezi 7.

swissme
 
Duh Wenzio tulikuwa na miaka 32 tulipoiona DTV kwa mara ya kwanza tena kwa jirani that was 1993.! Hongera sana ila utupe na sisi big up kwa kucatch up na wewe mtoto wa kishua. Vipi jeshi umeenda au unaogopa jua?

hapo nipo nyk.

swissme
 
Kama unaweka picha za watoto wa wenzio ntakusemelea lakini kama ni wewe sawa. Mimi mpaka sasa sina picha ila nilikuwa na moja nilipiga majeshi ila imechanika upande na ni black and white. Naogopa picha sababu mimi mweusi kuliko sufuria linalopikiwa kwenye kuni huku kwetu vijijini. Lakini unatuonaje tunaweza kuchart au??
 
Hapo Count gani? Westchester au?
 
njoo kwetu njalalani tunatupa pesa na vitu tusivyo viitaji mf tv flat screen sumsung galaxy kwasababu baba huwa anafanya shopping ndani every 2 week yeye sio jipu.kwa vile wewe ni mweusi tiiii njoo nyumbani kwetu tutakupiga msasa wa nguvu hadi unakuwa kama sisi weupe.

swissme
 
Hahahaah mpiganaji wa m23 kumbe
Huyo anauhakika gani? Siyo sayari nyingine hivi kwenye galaxy tuliyoigundua juzi mimi na my hasband kweli. Ziko mbili halafu huamini ziko miaka milioni200 ya light speed hivyo anza kuuliza kuhusu Eve na Adam nawalitokea wapi na hizi na zile na dinasors ziliishi wakati gani. We imani yangu haba mashaka yako menigi, tumaini lapungua, hofu yangu hainakipimooooooooo!
 
Duh Wenzio tulikuwa na miaka 32 tulipoiona DTV kwa mara ya kwanza tena kwa jirani that was 1993.! Hongera sana ila utupe na sisi big up kwa kucatch up na wewe mtoto wa kishua. Vipi jeshi umeenda au unaogopa jua?
Wayback 1994 DTV
 
Hofu ya nn tena? Kweli huenda anatoka katika sayari nyingine
 
Hawa wanaweza fanikisha kila kitu sababu they are sub invisible hasa kwenye majani marefu halafu na hizo sare plus rangi yao. Big up nani sasa Kabila au ?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…