Afumaniwa sasa anajutia na hana solution

Ushauri wa bure,
Huyo mpuuzi asamehe kila kitu alichoacha kwa huyo polisi. Kwa upumbavu kama huo wala msiende kumtafuta mzee wa kuwasindikiza. Mtaanzaje kumweleza mzee mwenye busara zake upuuzi huo,halafu unasema mko chuo, sasa huko mnasoma nini?

Hilo ni lake na alibebe mwenyewe, ila msisogee wala kupita mitaa anayoishi huyo polisi.

Si muungi mkono toka mwanzo ila nataka kukumbusha kwamba siku hizi wanafunzi wa chuo ndiyo wanaongoza kwa tabia zote chafu.
ngono zisizo na msingi
Wasichana kuvaa uchi uchi
Party za kijinga
Pia hata wabunge pia nao wachafu.
Kwa hiyo usitumie kigezo cha kuwa chuo kuhukumu, mhukumu mtu kwa ujinga wake binafsi si
 
Awasiliane na huyo binti aende wakati askari hayupo achukue vile vitu vyake.Ampigie askari simu amwombe msamaha. Ila kama mimi ningemchinja jamaa kwa sababu ananiharibia wadogo zangu.
 
Back
Top Bottom