Waswahili wanasema, lakuambiwa si lako na likiwa lako ni umbeya
Kilichotokea baadae sijui maana sipendi umbeya.
Ndo hivyo ukistaajabu ya Musa utakumbana na ya Fir'aunHahaha watu wana moyo aisee huyo mwanaume na dushe likadinda kabisa kwenye kitanda cha rafiki yake hivi sisi wanawake aliyeturoga kafa unampelekaje mwanaume kwenye nyumba yako halafu kingine mume yupo kaenda tu kazini
Huo ni moyo na nusu...maana moyo wa kawaida una haya. Wangechukuana wakafanye mbaliHahaha watu wana moyo aisee huyo mwanaume na dushe likadinda kabisa kwenye kitanda cha rafiki yake hivi sisi wanawake aliyeturoga kafa unampelekaje mwanaume kwenye nyumba yako halafu kingine mume yupo kaenda tu kazini