Afukuza mke na kichanga usiku wa manane

Haya mambo ya Mpango wa Uzazi yalipaswa kujadiliwa kawanza na kukubalika na wote wawili kabla ya mmoja wao kwenda kupata maelekezo na ufafanuzi. Aidha, hao washauri walipaswa kumwuliza kama amemshirikisha mume wake kwanza. Sasa kweli hebu fikiria hata kama ni wewe mwenzio wa ndoa anafika na maelekezo ambayo yanahitaji utekelezaji wako bila kukushirikisha kwanza. Alipaswa KUVUNJA UKIMYA KWANZA ili apate ridhaa ya kwenda kwenye ushauri wa mpango wa uzazi.
 
Back
Top Bottom