After he is gone, then what?

With strengthening institution he has willingly failed. He's just happy doing it alone; creating problems and then stage-manage problems solving fora.
Does 'Kikokotoo' and the infamous 'coral' show, ring a bell?
 
Wasukuma akili zenu hivi zikoje?

Kwamba tubadili katiba yetu ili tu imruhusu mtu mmoja atutawale Hadi afe?


Hivi mnamaanisha kabisaaa kutoka kwenye dhamira zenu au mnakua mnatania tu?


Ana upekee gani huyu?!

Yamekuwa ya Wasukuma tena?
 
Ndiyo maana yake. Maana anakuwa kaishaibadili mfumo na mfumo mpya kuwa stable. Maana tukisema amalize 2025.Huyo atakaekuja ataturudisha nyuma kuliko hata ilivyokuwa mwanzoni.
Kwamba katika Watanzania karibu million 60 hatapatikana yeyote afaaye mpaka ilazimu kurekebisha katiba yetu ili tu Magufuli msukuma wa Chato aendelee kuongeza mpaka Mungu atakapomchukua?


Nyie watu acheni ushabiki wa Kikabila.
 
The human rights crisis in Tanzania unleashed since President Magufuli took office in June 2015 deepened in 2017 as Magufuli continued his murderous

Democracy is under assault and in retreat around the globe, a crisis that has intensified as Tanzania’s democratic standards erode at an accelerating pace

Britanicca
 
It takes strong men to implement strong institutions.
Sasa huyu mnayemshabikia kwamba atawale milele ametengeneza taasisi zipi imara?

Zaidi ya kuzinyong'onyeza kwa kuzipunguzia nguvu na nguvu hizo kuzitwaa yeye?


Hebu tuache UNAFIKI Tujenge tabia za Kuziambia nafsi zetu yaliyo ya kweli kwa usahihi wake.
 
It takes strong men to implement strong institutions.

..YES.

..we need men and women to run those institutions.

..but some ppl want us to believe that Magufuli, can run everything by himself, and if he is not in power the country will survive.
 
Unaposema taasisi imara una maana gani labda mkuu? Watu imara? watu waaminifu? Aunde kitengo maalum? Ninini?
 
The folly of Magufuli is in his lacking a decidedly comprehensive approach towards whatever he is doing or saying.

As a result, he is running things by fits and whims, in an uncoordinated and uninformed way. Hapharzardly. Almost like a small office manager trying to use the same two bit tactics to run a country and deal with geopolitical espionage.

If one wants to do much, one must prepare very much. Magufuli is piloting a Boeing M737 Max on autopilot and an empty fuel tank. A recipe for disaster.

Apart from the banal not very impressive low hanging fruits of infrastructural improvements here and there, as well as intangibles like discipline (arguably fear based fake discipline) in government. I do not see how a person who insults even his key aides can get much accomplished. He fails at the most basic of leadership tenets.

He is bound to be caricatured by history as someone who did not know how to swim who jumped too quickly in the ocean and refused a line of help.

He is a one man army who clubs even friendly soldiers, setting himself an easy target for the malady of "development fatigue".

He will end up creating fake success stories (I am just watching how ATC unfolds) in order to pat himself in the back.

What's next? Unfortunately he is ruining the chances of real and calculating reformers.People with sense and a fresh taste of the vagaries of Magufulism will reject serious reforms as another exercise in futility.
 
..YES.

..we need men and women to run those institutions.

..but some ppl want us to believe that Magufuli, can run everything by himself, and if he is not in power the country will survive.
Mnachokisema kiko very imaginary unless sielewi na niko tayari kueleweshwa....
Watu imara watoke wapi wakati tunajijua watz wote madhaifu yetu? Kuna watu ama iundwe timu ya kijeshi kama SWAT?
 
..YES.

..we need men and women to run those institutions.

..but some ppl want us to believe that Magufuli, can run everything by himself, and if he is not in power the country will survive.
Propose a list mkuu ya taasisi imara... it might make more sense
 
Mnachokisema kiko very imaginary unless sielewi na niko tayari kueleweshwa....
Watu imara watoke wapi wakati tunajijua watz wote madhaifu yetu? Kuna watu ama iundwe timu ya kijeshi kama SWAT?

Hahahaaaa! Umenichekesha kweli....eti SWAT hahahahaa.
 
Institutions are people, though. Right?

..but the way you presented your arguments it is as if we dont need institutions, and ppl are useless, we only need John Pombe Joseph Magufuli.

..just to remind you, there were ppl who thought the country can not survive without Mwalimu Nyerere being our President.

..once Mwalimu vacated the Presidency,some apprehensive that Tanzania "tutasambaratika" if Mwalimu died.

..But we are still here, and moving on with our efforts to make our country better for every Tanzanian.
 
Mnachokisema kiko very imaginary unless sielewi na niko tayari kueleweshwa....
Watu imara watoke wapi wakati tunajijua watz wote madhaifu yetu? Kuna watu ama iundwe timu ya kijeshi kama SWAT?


..waTz wote ni madhaifu including Magufuli?

..au waTz wote ni madhaifu excluding Magufuli?

..sasa Magufuli ana masaada gani ktk jamii ya namna hiyo?
 

Yes, we never disintegrated after Mwalimu left but look how things turned out.

And by no means am I saying we can’t survive without Magufuli.

We will.

But, what will that survival be like?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…