Jlo anapenda wanaume hatari yaani kicheche sema kicheche msafi mwenye hela zake halafu pisi moja matata mi JLo namzimia Hadi Leo tangu enzi zake analiwa na Pdidy
Dina, yule na wanawake wengine kama yeye, hata Bongo wapo. Ukitaka kuwafukuza tangaza ndoa. Mimi ni mwanaume lakini niko hivyo pía. Sitaki mtu wowote achukue uhuru wangu kwasababu ya ndoa. No I'm going to do that. No.

Ben Affleck Jlo
–J.Lo and A-Rod announced their breakup in mid-April after four years together. This story originally appeared on ELLE USA
When Jennifer Lopez and Alex Rodriguez announced their breakup in mid-April, a source made it clear to E! that A-Rod didn’t see it as the end of them completely; he wanted to win his ex-fiancée back. But as Lopez’s relationship with her other ex-fiancé Ben Affleck heats back up, E! got details on how Rodriguez is taking it. He is definitely shaken by it, a source said.
“A-Rod is shocked that J.Lo has moved on,” the source explained. “He truly thought they would be able to make it work and reconnect. He has been reaching out to J.Lo trying to meet with her and she has been very short with him.”
Lopez had longtime doubts about Rodriguez given his reputation as a past cheater. As a music source put it to Peoplein April after their final breakup, “whether or not he has cheated doesn’t matter. She won’t tolerate the fear of it in the air between them.”
On the day they announced their split, E! got both Lopez and Rodriguez’s perspectives on it. Lopez ended things for good, the outlet made clear.
JLo ameingia kwenye mahusiano mapya mapema mno, she needed some time after her break up with A-Rod to heal. Asipokuwa makini ataumia tena.
Why the rush though??
I like her; I don't want to see her broken hearted again.
Hakuna ajuaye what actually happened between the two. A Rod hili la Bennifer kuibuka tena baada ya miaka 17 baada ya yeye kukorofishana na JLO kwa wiki tu limemuumiza sana A Rod. Anadai hajafunga milango yote kwa yeye kuwa pamoja na JLO na pia wana biashara zao pamoja lakini kama Bennifer wataendelea basi atafunga milango yote na kuhakikisha biashara zao kama partners zinafikia ukingoni.
Namsifu huyo A Rod ana moyo mkubwa sana wa kusamehe sijui kwa vile ni JLO!? Mie mrembo ananifanyia kama haya tukiwa tumekorofishana na tunaongea ili tumalize tofauti zetu na kuendelea na penzi letu halafu anaenda kuvuliwa picchu na ME mwingine ndiyo imetoka hiyo!!!
Binafsi nadhani JLo sio mtu wa kutulia na mtu mmoja kwa muda mrefu. Ndoa haimfai, na hivi alishaolewa mara nne atakuwa anaona hakuna jipya kwenye ndoa.
Huyu naona hawezi kuishi bila kuwa na mahusiano. She has never taken sometime to heal before jumping into another relationship. Yeye anakata mti na kupanda mti. Huenda ndo sababu inamfanya mahusiano yake yawe yanavunjika mara kwa mara
Hakuna ajuaye what actually happened between the two. A Rod hili la Bennifer kuibuka tena baada ya miaka 17 baada ya yeye kukorofishana na JLO kwa wiki tu limemuumiza sana A Rod. Anadai hajafunga milango yote kwa yeye kuwa pamoja na JLO na pia wana biashara zao pamoja lakini kama Bennifer wataendelea basi atafunga milango yote na kuhakikisha biashara zao kama partners zinafikia ukingoni.
Namsifu huyo A Rod ana moyo mkubwa sana wa kusamehe sijui kwa vile ni JLO!? Mie mrembo ananifanyia kama haya tukiwa tumekorofishana na tunaongea ili tumalize tofauti zetu na kuendelea na penzi letu halafu anaenda kuvuliwa picchu na ME mwingine ndiyo imetoka hiyo!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.