Afrodenzi Mmmhhhh......Afrodenzi

Kumbe na wewe wajua kutoa mi zawadi ya maua, kule kwetu wangekurudhisha nayo wanataka fungu la mchicha.
Au unaleta zawadi ya chihuahua, bora uwaletee paka pori apunguze hata panya.

Uko juu!
Unacheza na Mr Simpson....unakuja na fungu kubwa la mchicha pori
 
Kumbe na wewe wajua kutoa mi zawadi ya maua, kule kwetu wangekurudhisha nayo wanataka fungu la mchicha.
Au unaleta zawadi ya chihuahua, bora uwaletee paka pori apunguze hata panya.
Uko juu!
Hahahaha....ngoja nisubiri yakwako!! Jiandae kushtushwa na zawadi yangu!!
 

Ndugu wapendwa na wapenzi woooooooteeee

Asanteeeeni sana tena sana kwa wishes mlizonipa
namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunifikisha umri
..... ........ .............. .........

Best memories ambazo ninazo ni hizi
2008 nlivunjika goti kwenye Hockey
2009 nlivunjika goti la kushoto kwenye Rugby..
Hakuna kitu kigumu kama kukaa kwenye kochi na kutuma mtu
akuletee kitu.... na muda si mrefu ulikuwa unatembea..
Na mshukuru Mungu kwa kuweza kutembea tena na sasa
I'm back in the game...
🙂 :eyebrows:

Wapendwa Tumshukuru Mwenyeenzi Mungu kwa kila tulicho nacho..
Na tuache ku complain kwa kila kitu kuna wengine wanashida kuliko sisi..

I love you all, ...


ohhh kwa wale wanywaji mnitafute..
The best thing about my Birthday is drinking all day ..
loveeeeee youuuuuuu , take care... peace
😛oa

 



The Finest ,
Zawadi yako nono chumbani..
sina la kukwambia kwa sasa maana " I'm Speechless" ..
Thank you so much my dear friend...

hahahahahah Nimependa huo mpira wa rugby .. mwehhhhhh
Best present eveeeeeeeer...



Just for you The Finest .......



 
Ha ha ha, hawa ntawala kwa ruhusa ya mtu mmoja tu!

Hahaha!! Muoga wewe cheki hapo chini Rejao kakuwekea watafaa sana kwenye Birthday yako


Yes hawa ndio wenyewe hawa hapa lazima Kongosho atengeneze mwili wa ukweli:lol:
 
Mjukuu wangu mwaminifu na mpendwa wangu Afroie...

We ni shahidi yangu kwa kuwa unajua navyokupenda.

Mimi babu yako ODM nakutakia heri ya siku yako ya kuzaliwa. Mungu akujalie uishi maisha marefu na matamu zaidi. Akuongoze katika yote yaliyo mema. Adui zako wapate upofu watakapotaka kukudhuru. Ujaaliwe upate watoto wengi, waizunguke meza yako wakati wa chakula. Wakuzalie wajukuu na vitukuu.

zawadi yako toka kwa ODM ni; Mmmmmmwwwaaaah!

Karibu kitandani huku umpetipeti babu yako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…