Afrodenzi Mmmhhhh......Afrodenzi

Sina shaka kalenda yako Lizzy ni ya mchina....otherwise there r smthng wrong, labda Afro aatujuze hapa...!!
Bt ni kweli ulikuwa kaunta ya juu weekend? ukachanganya videsa??hahaa lol

Sizinga inabidi nirudi nilipoinunua aisee!!
Kuhusu kaunta ya juu lolzzzz....usimsikilize Fynest nasingiziwa tu...!!
 

Nina hamu kwelli ya kuiona hiyo kaunta ya juu, manake inapigiwa promo mbaya, hambanduki huko lol
Aisee kaunta ya juu tuna hisa kabisa

Afrodenzi ana hisa 40%
Kimey ana hisa 40%
Asprin ana hisa 40%
Lizzy ana hisa 40%
Wiselady ana hisa 40%
Preta ana hisa 40%
Blaki Womani ana hisa 40%
 
Afro....wakati nachagua chagua hapa, nimeiona hii, hembu chukua na naenda showroom kukuchangulia bajaji...Lol

 
This bike is special for you...If u dnt knw how to ride, plse send it to ur beloved Dad...say everything abt me!!
Now am heading to another shop...kukutafutia security.


 
Aisee kaunta ya juu tuna hisa kabisa

Afrodenzi ana hisa 40%
Kimey ana hisa 40%
Asprin ana hisa 40%
Lizzy ana hisa 40%
Wiselady ana hisa 40%
Preta ana hisa 40%
Blaki Womani ana hisa 40%

Vp vipande vya hisa vishaanz kuuzwa?? manake naona hapo percent ishafika 280%...kubwe bwebwe zote "
The Boss" hana chake..dooh
 

Vp vipande vya hisa vishaanz kuuzwa?? manake naona hapo percent ishafika 280%...kubwe bwebwe zote "
The Boss" hana chake..dooh
Tumepata application ya The Boss bado tunamfikiria
 
Dont panic...this is very special type of short Gun for your JF enemy!!, It is for your safeguard so to keep u live long and long n long.. live...!! Weka hizo bullets lakini sikufundishi how to shut!! Usije ukaua bure!!
Naenda duka la vinywaji, kuna brand mpya zimetoka france....nitaziweka soon nikifika!!

 
That's better be what i'll say about my Bday cake a month after the actual Bday....

Lizzy inawezekana ikawa kama hii hapa chini

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…