Afrodenzi Mmmhhhh......Afrodenzi

Mweeeeeeehhhhhh
nilidhani ulishinda stoo jana usiku maana
kuna baadhi ya hizi sizioni ....:tongue:


lol 🙂
Kloro na Rocky walikuwa na funguo ila atakuwa ni Rocky yule jamaa akiona chupa tu mate yanamtoka ngoja nikafanye ukaguzi
 
Be Happy On you Birth Days until you reach half a century then you start to be happy on others birthdays.

I am so happy to be participating on wishing you a very happy birthday. Be good on your birthday and never try rioting on you happiest day.
 
wa uzee bana kama Sara
naona TF amekuandalia bonge
la keki inaonekana itakuwa tamu
yangu itunze kwa jokofu kabla wanaozengea
hawajaifakamia

hahahahahahah
sante sana dear ..
Hiyo Keki ni kama Tanzanite
siruhusiwi kukata wala kuigusa mapaka
family member wote warejee.. na mii mate yameanza
kudondoka hapa lohhhhh :tongue:
 

Asante AD, ntamfikishia msg.
 
hivi Afro.....unajua tunamtumikia mkoloni saa hizi.......

hahahahahahahah
Mi nimewakimbia kwa leo tu lakini ..
Nlitamani sana iwe ijumaa lakini
ndivyo ilivyo na ninashukuru kwa hilo
na watayarishia tu mkimalizana nao ..😛oa
 
Be Happy On you Birth Days until you reach half a century then you start to be happy on others birthdays.

I am so happy to be participating on wishing you a very happy birthday. Be good on your birthday and never try rioting on you happiest day.


FF
asante sana dear kwa salamu za Birthday..
Ubarikiwe zaidi..

PS. Karibu sana kutoka kifungoni na pole ...
 
On this special day
I wish you:
Health and Wealth,
Love and Happinness,
to live and celebrate
many, many more years.

Happy Birthday Sister!
 
Kuna kadi naenda kununua, ungeikumbusha tangu jana ilikuwa ni kusubmit tu...sasa umenipa kazi ya kwenda dukani tena, so usijali nitakutumia punde kifurushi chaako!! na avatar naona umebadili...ama kweli umezaliwa upyaaaaaa!!Hongera once more!!
 
On this special day
I wish you:
Health and Wealth,
Love and Happinness,
to live and celebrate
many, many more years.

Happy Birthday Sister!

waooo waoo waooo
I cant ask for more ..
asante sana mkuu .....
Be safe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…