Watu wengi mnaomchukia Diamnd platnumz ndio mnaomjaza upepo huyu dogo, ila bado sana
Sent using Jamii Forums mobile app
😂 😂 😂mbona unataka kuharibu thread yangu ..si kaanzishe yako...sisi tunampongeza Mbongo mwenzetu hakuna utimu hapa
Uzi wako umeharibu kwa kusema kondeboy Ni msanii no 1 east Africa ungesifia tu hiyo album bila ya kusema hivyo watu wangekuelewa.The first East Africa album trending in Nigeria for two months non stop by @harmonize_tz who recognized as the number one ☝ artist in East Africa right now ,what so special about this album, got the Africa sound, literally what is your favorite song from it?
Wanaija wamekubali huu mziki, sasa ni hatua moja kwenda Billboard.
Thanks Africa music test