Gily Gru JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 9,361 Reaction score 25,791 Aug 26, 2023 #1 Remmy Ongala Wimbo Wema๐๐ View: https://youtu.be/Cb1zTXHT324?si=HY9qWMpUL0M7wpMm Nimekaa nasikiliza nyimbo ya Remmy Ongala huku nikitafakari mienendo ya Siasa za Africa. Tuna safari ndefu sana naamini kabisa adui wa Afrika ni waafrika wenyewe. Nakulilia Afrika
Remmy Ongala Wimbo Wema๐๐ View: https://youtu.be/Cb1zTXHT324?si=HY9qWMpUL0M7wpMm Nimekaa nasikiliza nyimbo ya Remmy Ongala huku nikitafakari mienendo ya Siasa za Africa. Tuna safari ndefu sana naamini kabisa adui wa Afrika ni waafrika wenyewe. Nakulilia Afrika
Clayton Paul JF-Expert Member Joined Aug 22, 2022 Posts 2,265 Reaction score 4,790 Aug 26, 2023 #2 Bara la madalali na mikopo waamuke waende wp
Gily Gru JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 9,361 Reaction score 25,791 Aug 27, 2023 Thread starter #3 Joe Navarro said: Bara la madalali na mikopo waamuke waende wp Click to expand... Ukoloni mamboleo utawatafuna wajukuu zetu. Waafrika bado hawajakombolewa kifrikra Kuna mda unaina jinsi wanavyobabaikia wazungu. Wakati ukienda kwao huko wanatutenga sana
Joe Navarro said: Bara la madalali na mikopo waamuke waende wp Click to expand... Ukoloni mamboleo utawatafuna wajukuu zetu. Waafrika bado hawajakombolewa kifrikra Kuna mda unaina jinsi wanavyobabaikia wazungu. Wakati ukienda kwao huko wanatutenga sana
Gily Gru JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 9,361 Reaction score 25,791 Aug 27, 2023 Thread starter #4 Iddi Amin Dadah hakuogopa wazungu. Pamoja na mabaya yake alituwakilisha vyema
Mwl.RCT Platinum Member Joined Apr 5, 2009 Posts 15,729 Reaction score 22,628 Sep 10, 2024 #5 View: https://youtu.be/sqASF9oIRQY