Afrika Kusini yafungua mipaka kwa nchi za Afrika

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Afrika Kusini imefungua mipaka yake kwa wasafiri kutoka nchi za Afrika, lakini imedumisha vikwazo dhidi ya nchi ambazo zina viwango vya juu vya maambukizi ya corona ikiwa ni pamoja na Uingereza, Marekani na Urusi.

Nchi hiyo ilifunga mipaka yakemwezi Machi mwaka huu katika juhudi za kuzuia kuenea kwa virusi.

Kuanzia leo Alhamisi Afrika Kusini itafungua baadhi ya mipaka yake ya ardhini viwanja vyake vikuu vya ndege Cape Town, Durban na Johannesburg.

Waziri wa mambo ya nje, Naledi Pandor, amesema wasafiri wote watakaowasili watalazimika kuonesha cheti cha kuthibitisha wamefanyiwa vipimo vya Covid-19 kutoka nchi zao na pia watafanyiwa ukaguzi watakapofika nchini humo.

Nchi ambazo viwango vya maambukizi ya virusi na vifo viko juu kuliko Afrika Kusini hawataruhusiwa kuzuru nchi hiyo kwa shughuli za utalii.

=====

South Africa has opened its borders to travellers from all African countries, but has retained restrictions against countries with higher coronavirus infection rates including the UK, the US and Russia.

The country closed its borders in March to limit the spread of the virus.

It will from Thursday reopen some land borders and its three main airports in Cape Town, Durban and Johannesburg.

Foreign Minister Naledi Pandor said all arriving travellers must produce a Covid-19 testing certificate from their countries and will be screened on arrival.

Travellers from countries whose infection and death rate are higher than South Africa will not be allowed into the country for leisure.

"Only citizens who are investors, diplomats, high-skills visa holders and businesspeople [coming from the high-risk countries] will be allowed," Ms Pandor told journalists on Wednesday.

Travellers who exhibit coronavirus symptoms or test positive will incur all the medical expenses.

South Africa has been Africa's worst hit country when it comes to coronavirus infections. It has so far confirmed 674,000 cases, about half the number reported on the continent.
 
CCM watasema wamemuiga Magufuli!! Angalia TBC, kuna mtu ataalikwa kumsifia Magufuli kwa Afrika Kusini kuanza kufungua mipaka yake. Kweli wafu wanawazika wafu wao.
 
Kazi kwa makenyanzi,manyarwanda & maganda yaliyogoma kufungua border zao za ardhini
 
South Africa leo october mosi imwfungua mipaka yao yote ile ya anga na ardhin mapema mchana huu majira ya saa saba ndege ya shirika la Ethiopia Airline imetua nqa abiria kadhaa.

Kwa mujibu wa taarifa, SA imefungua mipaka yake kufuatia kupungua visa vya covid 19 , Nchi zote za Afrika ruksa kuingiaa humo isipo kuwa kwa mataifa ambayo bado kiwango cha maambukizi kipo juu.
 
  • Thanks
Reactions: Gtt
Back
Top Bottom