Afrika Kusini: Wanawake waruhusiwa kuolewa na mwanaume zaidi ya mmoja

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,789
288,020
....that Women are allowed to marry more than one man.
Your browser is not able to display this video.
 


Natumia jina na avatar la character kwa jina la Frank Underwood.
 
 
Ha ha ha ha ha ha hao wanawake labda waolewe na marioo au na walevi wa gongo. Kama pisi kali sisi wanaume hatuna shida kushare ila akishaanza kuchuja kila mwanaume ataondokea mlango wake abakie kama alivyo.


Anyways naona jamii sasa imekosa uelekeo na wanafanya kila jambo ambalo akili inawaambia.

Soon makanisa ya kishetani yataanza wazi wazi na bible itaandikwa upya sababu 90% ya mafunzo yake yataanza kuonekana kama kero au kuwatusi certain types of minority groups....
 
Hahahahahahaha hata BEBERUS hawajafanya huu ujinga, sijui Serikali ya South Africa walikuwa wanawaza lipi?

Imekaa njema, ngoja nitafute uzi wa kuzamia South sasa kwa mwongozo zaidi....
 
BT dahhhh!!!! sikukutegemea kabisa uunge mkono hili. Haya wasalimie wajukuu wa Mandela. Nakumbuka nilishaona story ya UK ya mrembo aliyekuwa akiishi na 2 husbands nadhani na Kenya pia halafu wako happy kabisa na maisha yao.

South Africa here i caaaaaaaaaaaaaaaaammmmeeeee!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…