Adhana hua inachukua muda gani? Sidhani hata kama inafika dakika 4Nyumba za ibada zisiwe chanzo cha kelele zisizo na tija.
Wafunge maspika yao ndani na kelele zisitoke nje.
Utakuta kanisa moja linapiga kelele mtaa mzima au msikiti mmoja wanapiga kelele mpaka mtaa wa 3 unasikia.
Hii tabia ikome.
Nadhani adhana haiwezi kuingia kwenye kundi la makelele.Sijui kamusi la kiswahili linasemaje lakini naona kama makelele ni maneno yasiyo na mpangilio maalum wala faida yoyote kwa anayesikiliza.Nyumba za ibada zisiwe chanzo cha kelele zisizo na tija.
Wafunge maspika yao ndani na kelele zisitoke nje.
Utakuta kanisa moja linapiga kelele mtaa mzima au msikiti mmoja wanapiga kelele mpaka mtaa wa 3 unasikia.
Hii tabia ikome.
Yaarab tunakuomba waja wako uwaangalie kwa jicho la huruma viumbe wako hawa wanaoikadhibisha dini.Nyumba za ibada zisiwe chanzo cha kelele zisizo na tija.
Wafunge maspika yao ndani na kelele zisitoke nje.
Utakuta kanisa moja linapiga kelele mtaa mzima au msikiti mmoja wanapiga kelele mpaka mtaa wa 3 unasikia.
Hii tabia ikome.
Bichwa kubwaNyumba za ibada zisiwe chanzo cha kelele zisizo na tija.
Wafunge maspika yao ndani na kelele zisitoke nje.
Utakuta kanisa moja linapiga kelele mtaa mzima au msikiti mmoja wanapiga kelele mpaka mtaa wa 3 unasikia.
Hii tabia ikome.
Mkuu umesoma vizuri thread?Safi sana hizo adhana zinazingua sana..
Wahusika watakuwa wameelewa.Hujaeleweka
Ana mapungufu ya akili huyo ,sasa wafunge vitu kerere zisitoke nje je anaelewa nini lengo la adhana au anaongea uchizi ? Na alaaniweAdhana hua inachukua muda gani? Sidhani hata kama inafika dakika 4
Vipi kuhusu makelele yanayopigwa kwenye ma Bar?
Kama hutaki makelele nenda ukaishi peke yako huko porini,kelele ni dalili ya uhai na haziepukiki.