Afrika kuna raha yake, hata Bombadier tunasukuma

Afrika kuna raha yake, hata Bombadier tunasukuma

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,276
Kuishi Bara la Afrika kuna raha yake mojawapo ni urahisi wa baadhi ya mambo, hata ndege aina ya Bombadier tunasukuma kwa mikono yetu.
IMG_20180511_120237_515.jpg
 
ni aibu na u zezeta kabisa kwa karne hii bado unakua msindikizaji huku kila siku ukijisemea "tutafika tuu'............. wenzako wakati wanafika wewe ulikua wapi??
Huu ni mwaka wa ngapi wa Uhuru?
Marekani iko huru kwa mda gani sasa?
 
Huu ni mwaka wa ngapi wa Uhuru?
Marekani iko huru kwa mda gani sasa?
Usilinganishe USA tuanze na South Afrika tuliowasaidia kupata Uhuru wapo wapi. Au Rwanda waliouana 1994 na shirika lao lilivyo na ndege. Kiufupi tumejiroga half tukamwua mganga
 
Usilinganishe USA tuanze na South Afrika tuliowasaidia kupata Uhuru wapo wapi. Au Rwanda waliouana 1994 na shirika lao lilivyo na ndege. Kiufupi tumejiroga half tukamwua mganga
Rwanda ni kama nusu ya morogoro.

Na maendeleo ya South Africa hayajaletwa na marais wao, walishatafuniwa kila kitu. Wageni walitaka kuimiliki moja kwa moja ndio maana waliwekeza sana
 
Back
Top Bottom